Wewe ungemfuta yupi?

Wewe ungemfuta yupi?

kaka peter msiba wa mama usikie kwa mwenzio, siku yaliponifika, sijawahi kupona jeraha la mauti yake. Kifo cha mama ambae mmeshibana ni msiba wa kila siku ndani nyoyo zetu.
pole sana dada/kaka yaani we acha tu mama ni nguzo muhimu sana hasa ukute ndo mmeshibana, mimi mtu niliyekutana naye ukubwani wala hanipi shida
 
Kila mtu hapa ana namna alivyojeruhiwa na either baba, mama, mke au mume, hivyo ataangalia ni upande gani ambao ni mzuri kwake. Mzazi huwa hamchagui mtoto na wala mtoto hamchagui mzazi ila mke au mume mtu humchagua anayeona anafanana nae akimshirikisha Mungu au kwa utashi wake. Mungu alisema utawaacha baba na mama utaambatana na mkeo nanyi mtakuwa mwili mmoja unless kifo kiwatenganishe. Cathy was right 100%
 
Kwa ulivyosimulia kwenye ile sredi ya mke kumtuhumu mumewe kumwibia, una haki zote duniani kusema hivyo.
Na hata kama sio mitihani ilionikuta still my parents are my first priority no matter what the circumstances are,hakuna na hatotokea kwenye hii dunia anaeweza kuchukua nafasi zao...
 
kila MTU ni mzuri kwa sabab hatujakutana na side b zao, mtu yeyote anaweza change muda wwte, mnapooana ndoa ipo kama Paradise, mtoto kumuua baba au mama is possible, baba, mama kukukana is possible pia as tupo huku mtaani unasikia visa vingine vya wazaz kwa watoto wao unachoka, hujawah sikia mama kumloga mwanae? baba kumtoa kafara mwanae? unadhani hawa wote walzaliwa na hizo roho? everything can change jiamini, jithamini, jipende, wapende kwa moyo but usijipe 100% bila Fulani maisha yangu ni useless
 
mm naungana na Cathy na nina sbb pia. nina wazazi wote nina mtoto mmoja na mume wangu alifariki ni miaka minne sasa lkn bado namlilia yy tu

Babynice,
Pole sana. Ila nakuunga mkono. Nina miaka 43 ya ndoa ya mke mmoja. Tulibarikiwa watoto 8, watatu weshatutangulia mbele ya haki na 5 wapo hai.
Lakini, nimeshawaambia ndugu zangu na hata na marafiki zangu; Kama akitwaliwa my waifuwangu, HAKIKA nitamzika na hicho kitanda chetu na hata chumba nitahama sinta lala humo. Nikimkumbuka naona ntachanganyikiwa. Nioneni limbukeni wa mapenzi ila HAKUNA kama my waifu wangu.
 
Duh mahali ambapo pangekua pagumu kwangu kufuta ni kwa wazazi na mtoto basi
 
Huu ni mtihani haswa,ila mimi ningemchagua mwanangu wa pekee.
Maana vyovyote iwavyo mwanangu ndiye mwenye mapenzi ya dhati na mimi,hatonitenda na naamini hata yeye angenichagua mimi.
Mwanaume naweza kuachana nae,anaweza kuniumiza na mengine kama hayo.
Hakuna mapenzi ya dhati zaidi ya yale ya mama na mtoto.
 
"Hivyo mtu atawaacha baba na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja". Just thinking aloud.....
Pamoja na hilo lakini mzazi ana sehemu kubwa kwako. MKE/MME mmekutana ukubwani, mzazi wako mara ngapi amekesha amekubeba bila kulala usingizi?
Wazazi kukulea mpaka ukafikia umri wa kujitambua ni issue nzito sana, you can delete them, but you have to think twice.
 
Babynice,
Pole sana. Ila nakuunga mkono. Nina miaka 43 ya ndoa ya mke mmoja. Tulibarikiwa watoto 8, watatu weshatutangulia mbele ya haki na 5 wapo hai.
Lakini, nimeshawaambia ndugu zangu na hata na marafiki zangu; Kama akitwaliwa my waifuwangu, HAKIKA nitamzika na hicho kitanda chetu na hata chumba nitahama sinta lala humo. Nikimkumbuka naona ntachanganyikiwa. Nioneni limbukeni wa mapenzi ila HAKUNA kama my waifu wangu.
Wewe ni jinga sana kuliko woooote duniani. ushalishwa limbwata sio bure. hivi km una akili sawa sawa mkeo unaweza kulinganisha na Mamako mzazi? hapo huyo mkeo anakuombea ufe apate chake biashara iishe hlf unaongea utumbo eti hakuna km wife kilaza wewe kichwa chako ni maji tupu
 
Back
Top Bottom