Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,576
- Thread starter
- #101
Responses za watu zinawakikisha maisha yao halisi humu. Ndiyo maana kila mtu anachangia kwa hisia sana kuhusiana na atakayemkata.Unayajua maisha yao??!mbona povuu
Responses za watu zinawakikisha maisha yao halisi humu. Ndiyo maana kila mtu anachangia kwa hisia sana kuhusiana na atakayemkata.Unayajua maisha yao??!mbona povuu
Unapotumia maandiko kumbuka pia "waheshimu baba yako na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako".Na iko katika amri kumi za Mungu."Hivyo mtu atawaacha baba na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja". Just thinking aloud.....
Jamani mzazi kukulea haimaanishi labda anakupa favor bali ni wajibu kwa mzazi kumlea mtoto wake na kumpatia mahitaji yote muhimu. Na mtoto kumheshimu mama ni wajibu wake kama mtoto wala sio ombi hivyo tusitake kuona kwamba mzazi katupendelea saaana anapokuwa ametimiza majukumu yake tukumbuke kuwa na yeye ni Mme/Mke wa mtu mwingine hivyo anawajibika kwa mwenzi wake pia. Mungu hakuumba mama au baba wa mtu bali aliumba mume na mke. Watoto ni zawadi tu ambao hufanya Mke au mume aitwe baba au mama.Pamoja na hilo lakini mzazi ana sehemu kubwa kwako. MKE/MME mmekutana ukubwani, mzazi wako mara ngapi amekesha amekubeba bila kulala usingizi?
Wazazi kukulea mpaka ukafikia umri wa kujitambua ni issue nzito sana, you can delete them, but you have to think twice.