Wewe ungemfuta yupi?

Wewe ungemfuta yupi?

MKE HAWEZI KUZIDI UMUHIMU WA WAZAZI HASA MAMA. SISI WANAUME TUNAWAPENDA SANA MAMA ZETU KWANI TUNASIKIA KWAMBA WALITUZAA KWA UCHUNGU NA KWA JINSI MUNGU ALIVYOTUUMBA HATUWEZI WA KUJA TOKEA KUPATA UCHUNGU HUO MAANA HATUINGIA LOBOUR. HII IPO TOFAUTI KIDOGO JAPO SI KWA WANAWAKE WOTE, KUNA WANAWAKE THAMANI YA MAMA YAKE INAKUWA YA KAWAIDA KWANI UCHUNGU WA KUZAA NAE ANAUJUA SO NI RAHISI KWA MWANAMKE KUMTHAMINI SANA MUME AU MTOTO WAKE KULIKO MAMA YAKE. KUNA MADEMU UKIMPIGA SHOW VIZURI ANAWEZA HATA MTUKANA MAMA YAKE AU KUSEMA ANAKUPENDA KULIKO MAMA YAKE KWA MWANAUME HIYO NI NGUMU LABDA UMLOGE
 
Naomba tu useme ungemfuta nani

Haha. Wote, isipokuwa wa ubavu. Mi hata leo nikiambiwa nichague mtu mmoja tu wa kubaki nae, kama ikitokea dunia nzima inakuwa wiped out, nitamchagua manzi yeyote (hata Wema Sepetu) mbele ya wazazi na ndugu. It's a no brainer.
 
Hahaha nilikuwa naconfirm tu kwa mara 2, ulishasema hivyo before. Vipi hata kama ukibakishwa na Wendy ni sawa tu au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MKE HAWEZI KUZIDI UMUHIMU WA WAZAZI HASA MAMA. SISI WANAUME TUNAWAPENDA SANA MAMA ZETU KWANI TUNASIKIA KWAMBA WALITUZAA KWA UCHUNGU NA KWA JINSI MUNGU ALIVYOTUUMBA HATUWEZI WA KUJA TOKEA KUPATA UCHUNGU HUO MAANA HATUINGIA LOBOUR. HII IPO TOFAUTI KIDOGO JAPO SI KWA WANAWAKE WOTE, KUNA WANAWAKE THAMANI YA MAMA YAKE INAKUWA YA KAWAIDA KWANI UCHUNGU WA KUZAA NAE ANAUJUA SO NI RAHISI KWA MWANAMKE KUMTHAMINI SANA MUME AU MTOTO WAKE KULIKO MAMA YAKE. KUNA MADEMU UKIMPIGA SHOW VIZURI ANAWEZA HATA MTUKANA MAMA YAKE AU KUSEMA ANAKUPENDA KULIKO MAMA YAKE KWA MWANAUME HIYO NI NGUMU LABDA UMLOGE
Wazazi nao ni mke na mume...kumbuka hilo!!
Usiku ukifika wenzako wanaenda zao kulala wewe unaenda chumbani kulala chali na kuendelea kuhesabu mbao za dalini au kenchi!!
 
Hahaha nilikuwa naconfirm tu kwa mara 2, ulishasema hivyo before. Vipi hata kama ukibakishwa na Wendy ni sawa tu au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaha. Wacha hizi bana. Nimesema ningechagua mwanamke, sio mwanaume aliyevaa wigi(I'm going to hell for this). Kama option ndio ya kubaki na Wendy, basi ningejitolea na mimi kuwa wiped out.
 
Hahaha kwani Wendy alikufanyaje lakini uwiiii. Mungu hapendi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wazazi nao ni mke na mume...kumbuka hilo!!
Usiku ukifika wenzako wanaenda zao kulala wewe unaenda chumbani kulala chali na kuendelea kuhesabu mbao za dalini au kenchi!!
UNACHOSEMA UPO SAWA ILA MADA HUSIKA INAHUSU NI NANI UNAPOTAKIWA KUCHAGUA WAKUTHAMINI JUU YA MWINGINE.INAWEZA KUTOKEA HUSIOE WALA KUOLEWA ILA HAIWEZEKANI KUISHI DUNIANI BILA KUZALIWA. UPWEKE WA USIKU HAUWEZI KUWA CHANZO CHA KUFUTA THAMANI YA MAMA KISA NISIWE MPWEKE USIKU. YAANI KIFUPI SIWEZI KUFUTA JINA LA MAMA NIACHE LA MKE IKIBIDI KUFANYA IVYO
 
Back
Top Bottom