Wewe ni msichana mwenye mvuto?

Wewe ni msichana mwenye mvuto?

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
Kesho saa nne nitakuwa nimeingia makao makuu ya nchi-Dodoma kwa shughuli zangu za kikazi,jioni ningependa nikutane na msichana yeyote wa JamiiForums aliyepo Dodoma, niweze kubadilishana mawazo na awe mwenyeji wangu kwa muda wa wiki mbili nitakazokaa huko.

Walio interested tu wani pm
 
Kesho saa nne nitakuwa nimeingia makao makuu ya nchi-Dodoma kwa shughuli zangu za kikazi,jioni ningependa nikutane na msichana yeyote wa jf aliyepo dodoma,niweze kubadilishana mawazo na awe mwenyeji wangu kwa muda wa wiki mbili nitakazokaa huko.walio interested tu,wani pm

So akiwa wa kawaida hutataka mwenyeji!??
haya wadada Mr Escrow katinga Capitoni.
 
Mvuto unaingiaje hapo????!Tafuta escort.
 
nna shosti wangu Evelyn Salt wote tuna mivuto hatari. tuje pamoja au unataka mmoja?

ah ah wote tu,u know suala la mvuto ni kuwa mwanaume ukiwa smart na itapendeza zaidi mwanamke akiwa smart!! thats why nimelisisitiza !!
 
Last edited by a moderator:
ah ah wote tu,u know suala la mvuto ni kuwa mwanaume ukiwa smart na itapendeza zaidi mwanamke akiwa smart!! thats why nimelisisitiza !!

hata sie tunapenda wanaume smart, basi ukifika utatuambia. usisahau kutuletea zawadi eeeh.
 
Update
Wamekuja wasichana wawili!!sijui hawakukiona kigezo cha mvuto!!!wako ovyo sana!! Mmoja kapigwa pasi balaa!! Story zao hazieleweki na huwezi kujua wanaishije hapa mjini?nimewapa senti kidogo wameondoka.baada ya kukaa nao lisaa moja hivi.Nafasi bado zipo kwa kesho jioni wana jf Dodoma msiniangushe .
 
Back
Top Bottom