Wewe maliza nitakula taratibu

Wewe maliza nitakula taratibu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
418408_256194311126074_1481015271_n.jpg



.. Boflo
 
Last edited by a moderator:
kweli kula kulana
sijui kama paka the way alivyo msafi hapo atakula kiporo hicho
 
ha ha ha.....panya akimaliza kula nae analiwa....amekula vya wenzake nae ataliwa.haya ujumbe mzito huo wa mafasadi wa sekta zote
 
Hawa ni wale paka wanaokula Whiskas, hali kichefuchefu hiki.
Ni kweli mkuu paka huyu hawezi kumla huyu Panya kwa sababu Paka wa Ulaya wana vyakula vyao maalumu sio huyu Panya ingelikuwa ni paka wa kiafrika hapo ningelikubali angeweza kumla huyo panya umesema kweli mkuu MadameX
ha ha ha.....panya akimaliza kula nae analiwa....amekula vya wenzake nae ataliwa.haya ujumbe mzito huo wa mafasadi wa sekta zote
Mkuu wewe kweli nuksi umefafanuwa kuhusu huyu Paka na huyo Panya ni kama Mafisadi wa kibongo? unatia ndani yake Siasa? Si kuwezi mkuu lakini unayo haki kusema hivyo.... Vinci
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom