Wewe kama mzazi au mtoto ungefanyaje kwa hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe kama mzazi au mtoto ungefanyaje kwa hili?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MPAMBANAJI.COM, Mar 22, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Wewe ni baba ndani ya familia au hata kama ni wazazi wako,bahati mbaya au nzuri we ni mkali na ukikohoa tuu watoto na mke wanashtuka na wanaitika,siku moja wakaja Polisi home kukuarest,kabla BABA hujajibu unakatwa wenge(kofi/kichapo) na wote home wanakuona,hujajibu unapigwa tanganyika jeki,ili kuuwa so mbele ya mke au watoto utafanyaje wewe kama Baba?
  Na wewe kama mtoto au mke ungefanyaje?

  Nicheke vipi leeeeeeeeeeeeeeeeeeeeooooooooooooooooooooooooooooo
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Unaangua kicheko illi familia ione kama ni utani tuu mnataniana na wale askari.
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unasema 'ivi ndo mmejitahiidi kutumia nguvu zenu zote au mlikuwa mnatest?'
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wallah kesi ikiisha napiga kiberiti kituo... Chezea heshima wewe!
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Wana anza upya zoez
   
Loading...