Ni connection gani ya maana umetoa , mtu anaweza lipa bills zake baada ya kuipata?Hints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma https://www.jamiiforums.com/threads...w-za-sekretariet-ya-utumishi-wa-umma.1911080/
Khs uchumi mm mwnyw mnyonge sina maisha πBwashee nyeto umefanikiwa napiga , hapa ni kuhusu uchumi sasaπ€£
Safi sana , kuna takataka nilimpa connection ila kwa I'd nyingine ambayo ilikuja kuungwa niliona ananitukana matusi ya nguoni ,ndio maana huo nina dharau sana humuπ€Wengi nimewapa connections za kazi.
Wengi nimewapa vimemo na wakatoboa.
Wengi niliwashauri na wakasogea hatua kadhaa mbele.
Wengi walinitapeli....
Wapo walio nidanganya na kunivuta pesa....
Sema miaka ya 2015 kurudi nyuma Jf ilikua hot π₯ kinoma.... sikuzile tulikulana kwa heshima na palikua so cool π
Ila Jf ilikua na pisi za kwenda alloooo.....π
Sikuzile tulipendana sana kabla ya huu uvamizi wa Gen-Z