Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Ukiona kafika 30 kapa ujue ana matatizo huyo. Walihisi wakiolewa mapema watakosa vingi kwa hiyo walikataa waoaji
 
30 years ni miaka mingi sana. Ila wengi wao huwa wanavutia wanakuwa wamesharidhika na maisha wamejazia.

Hivyo naungana na wewe kuwa ni watamu sana ukiwala. Endelea kula mzigo.
Watamu au wazoefu tu. Maana wapepita kwingi
 
Wanawake above 30 wanaongoza kwa kumilikiwa na vidume wa maana young boys eg zalinah hasani,Riyami,wolper,j lo,shishi baby,etc
 
Everyone ana time zone yake mbwembwe zote uckute ana kijibamia uyo mkware kwan kukua ni kosa.. mwambie atoe shombo hao wa 21 hawatafka 30 mctucmangie dada zet hata wao walpita 21..
 
Mmh kazi kweli....unawapa tabu kweli hawa ndugu zetu...

Washauri basi kwa njia iliyo sahihi kuliko hivyo ulivyowaambia
 
mbona unahangaika sana kwenye avatar zako.?
kila sku mpya [emoji28]
punguza kuhangaika bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…