Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Watu hamnaga mambo ya maana yakufimiria? Mpaka mnaboa
 
watu tunatofautiana sana ikiwa wengine tunaona wanawake wenye 30+ ndo wameshatulia washajua Maisha ni nini. Fashion Kwao sio issue tena, wengine wanamaisha Yao hivo ukiwanao mtsaidiana kujikwamua kimaisha haraka zaidi. Mtoa Mada sijui kama una miaka 30 analysis yako it's like umebarehe Juzi Bado akili zako zinatawaliwa na ngono, kuoa it's not about sexing only
 
Yaani hii mitandao imewabadilisha sanaa

Hawajabadilishwa na mitandao ni walikuwa hivyo toka kitambo sema tu wanawake tulikuwa tunadanganywa sana kuhusu wanaume but tushukuru Mungu tumeishi tukaona uongo waliodanganywa bibi zetu.
 
Dogo unaangalia swala la mahusiano in one dimension(palatability, of GF member) nakushauri ukiamua sasa nataka kuoa angalia mwanamke ambaye in 10 to 20 yrs to come atakuwa Mama wa watoto wako,....kumbuka Mama ndo mwalim wa kwanza wa wanao so u need to choose wisely.. If unataka Mama atakayewafundisha wanao kuwa "how to be good in bed" only that bas we komaa na utam wa K tuu...vilevile Kumbuka mwanamke uliyemzidi saana umri wakati we umezeeka kwa sbb unakula vyakula hovyo hufanyi mazoezi kipindi we unapiga DALI KIMOKO uko hoi ye ndo kwanza kumekucha... Lazima vijana wakusaidie
 
AACHA kuwaonea kabsa, dunia haiendi ivo .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125] nisamehe buana sio ugomvi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] kitu kisimame mpaka busti
 
Kwahiyo huyo dada yupo humu?
Nawe wajiita great thinker!! And umesema una miaka 30 right!! Ama kweli kuna watu wanakuwa miaka tu ila akili zimestuck.

Mueleze tu kistaarabu kwamba you dont see any future btn you two, karma is real so itafute busara ulikoisahau ikiwa bado mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…