Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Hahha
[emoji121]
HABARI ZENU MABIBI NA MABWANA,

NAOMBA NIWAJUZE TU KUWA
HUYU NDIYE MLENGWA WA HUU UZI,
NA AMESHAMJIBU MWENZIYE KAMA MUONAVYO.

HIVYO
UJUMBE WAMESHAFIKISHIANA.

MJADALA UFUNGWE!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
ha..msamehe ana maumivu
 
Wapo walio olewa na wanafurahia ndoa,labda ni mikosi kwako tu
 
Na mm pia siwataki wanaume wa 85 kwenda bado hawajakua na wacheze na vischana mafua then wanakuja kusikitika hapa hapa wanakuta maugali. Chovyeni mauchafu yenu na vischana mafua visivojua ata kuchamba[emoji53]
 
Wanaweka wenye umri mkubwa msiogope, nawapenda sana, mkombozi wenu nipo hapa msihofu..
 
Muache kuwakutisha tamaa wadada wa watu kuna mdada kaolewa na miaka 46 nw ana mtoto wa miaka miwili na wanalingana na Mme wake tena wamefunga ndoa yakikatoriki
 
Atakae sema yalaA ujue imempata
 
Na mm pia siwataki wanaume wa 85 kwenda bado hawajakua na wacheze na vischana mafua then wanakuja kusikitika hapa hapa wanakuta maugali. Chovyeni mauchafu yenu na vischana mafua visivojua ata kuchamba[emoji53]
Kipya kinyemi mkuu. Mtumba utalinganisha na nguo mpya. Mwanamke mwenye 30 ni sawa na chai iliyopoa
 
Muache kuwakutisha tamaa wadada wa watu kuna mdada kaolewa na miaka 46 nw ana mtoto wa miaka miwili na wanalingana na Mme wake tena wamefunga ndoa yakikatoriki
Unaongelea bahati nasibu inayotokea kwa 1 kati ya malaki
 
Huu ujumbe umesononesha wengi, hasa dada zetu. Sio vizuri kuwaumiza wengine kihisia. Ungejua kuwa kuna wadada wanaoumia kisa umri, usingekija na mada ya namna hii.
 
Asante kwa chakula cha ubongo Mkuu. Nimeongeza kitu
 
Huu ujumbe umesononesha wengi, hasa dada zetu. Sio vizuri kuwaumiza wengine kihisia. Ungejua kuwa kuna wadada wanaoumia kisa umri, usingekija na mada ya namna hii.
Pitia comment ya Womanity hapo juu amemaliza kila kitu mkuu
 
Kipya kinyemi mkuu. Mtumba utalinganisha na nguo mpya. Mwanamke mwenye 30 ni sawa na chai iliyopoa
Kipya ndo kipi?? Hata ufanye nn hautawesha itafika muda na ww utakuwa retired na watt wazur ndo kwanza wanazaliwa. Ukijielewa bac hamna jipya kikojoleo ndo kile kile
 
Mwanaume bure wewe. .
Huyo wa miaka21 unayemshobokea wewe K yake imelegea kuliko na anapenda wazee wa miaka60 mfyuuuu
Kwa hili povu si nure limekupata jichoni..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…