Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,090
Looh!😋😋 haya bana
Hii ngoma ya kinubi hii sudaniani moja
Unapenda mkuyenge mweusi sio?Kwanza ieleweke lengo sio kumdharau yoyote au kudharau uumbaji.
Haya ni mawazo huru tu.
Mimi kwakweli hawa WEUPE labda itokee tu (in shehe kipoozeo's voice)
Hii sauti inatosha wakuu au iongezwe? [emoji344][emoji344][emoji344][emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji419][emoji375][emoji375][emoji375]
weupe nawependeaga Maji tu, hayakauki aise .....Kwanza ieleweke lengo sio kumdharau yoyote au kudharau uumbaji.
Haya ni mawazo huru tu.
Mimi kwakweli hawa WEUPE labda itokee tu (in shehe kipoozeo's voice)
Hii sauti inatosha wakuu au iongezwe? 🔊🔊🔊🎶🎶🎶
📌🔨🔨🔨
kiongozi mbona kama una visado kadhaa vya hawa viumbe uko uliko🤣🤣usitufanyie ivyo kaka
[emoji2] naangusha MOJA MOJAkiongozi mbona kama una visado kadhaa vya hawa viumbe uko uliko[emoji1787][emoji1787]usitufanyie ivyo kaka
🤣🤣🤣
yeap! hata guiness wanalitambua hilo. BLACK SHINES BRIGHTESTKwanza ieleweke lengo sio kumdharau yoyote au kudharau uumbaji.
Haya ni mawazo huru tu.
Mimi kwakweli hawa WEUPE labda itokee tu (in shehe kipoozeo's voice)
Hii sauti inatosha wakuu au iongezwe? 🔊🔊🔊🎶🎶🎶
📌🔨🔨🔨
hao washamba tuWe mkuu ni mwanaume wa wapi? Watu wanajichubua hadi makalio wawaridhishe...nawe unaongelea habari gani sijui?
Mkuu ishu za pepo walileta hao au sisi weusi mpaka tudai pepo zetu ?Kwanza ieleweke lengo sio kumdharau yoyote au kudharau uumbaji.
Haya ni mawazo huru tu.
Mimi kwakweli hawa WEUPE labda itokee tu (in shehe kipoozeo's voice)
Hii sauti inatosha wakuu au iongezwe? [emoji344][emoji344][emoji344][emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji419][emoji375][emoji375][emoji375]
Weusi wanataka pepo yao wakati mwanzilishi wa mambo ya pepo ni mweupe, ajabu sana hii
Aysee...jamaa kwa kutia dislike hajambomdudu wa bunju nae ni black Beauty