Weusi wawe na pepo yao kwakweli

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,722
3,366
Kwanza ieleweke lengo sio kumdharau yoyote au kudharau uumbaji.

Haya ni mawazo huru tu.

Mimi kwakweli hawa WEUPE labda itokee tu (in shehe kipoozeo's voice)

Hii sauti inatosha wakuu au iongezwe? 🔊🔊🔊🎶🎶🎶

📌🔨🔨🔨
 
Tupo pamoja kwenye blaka byute😃

Mai friend blaka byute akiwa byute anakuwa byute kweli anaweza kunawa uso akapaka mafuta kwa lips mkaenda kwenye harusi safi na hakuna atakayeshtukia

Najua msomaji unataja niseme upande wa pili hali ikoje ila hapana yule mamba wa tagged sitakaa nimsahau
 
Mshatoka Kanisani sasa, Lol
Karibu
FB_IMG_1699776442584.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mweusi ni mzuri!

Mwanamke Mweusi ni mtamu zaidi ya Asali

Mwanamke mweusi anavutia zaidi ya Dhahabu

Mwanamke Mweusi Amejaaliwa Ndundu!



Ahsante MUNGU kwa kumuumba Mwanamke Mweusi!
 
Back
Top Bottom