kumbe Sasa Napata Sababu Kwa Nini Dada Zetu Wanajichubua, Na Hata Baadhi Ya Kaka Zetu Nao Wanajichubua.......!
Ni Ile Hali Ya Kuchukia Kila Cheusi......!
Hatred Hii Imeenda Mpaka Kwenye Zimbabwe Issue.....!
Nakwenda Kulala Lakini Kesho Zitto Ake Na Kuwaomba Wazalendo Msamaha!
Tunamwtaji Kijana Huyu Aliyedanganywa Na Mkuu Wa Nchi Kwa Maslahi Ya Chama!
Kikwete Nitakulaumu Kama Maisha Ya Zitto Ya Kisiasa Yakiwa Tabu!
Zitto Ni Kijana Wetu Na Tunamwitaji!
Zitto!
Come Back! Pls!
Ninakataa kwa nguvu zangu zote vita hivi vya zimbabwe kwasababu najua kinachoendelea!
Naomba tusidharauliane maoni yetu!
Mpango huu ulishapangwa kitambo!
Blair alimpa Bush support Iraq kinyume na matakwa ya wananchi ili na yeye apewe sapoti huko zimbabwe!
Mugabe ni saddam wa Blair kama ilivyo Saddam kuwa Mugabe wa Bush.
Dili lilishapangwa kule kwenye g8 summitt!
sisi huku nyumbani ndo asubuhi nami nimeamka nakwenda kwenye paper....!
wish me best performance....!
........western Propaganda.....turns Mugabe....into A Tyrant....!
Duh! Where do I start.... well never mind, I'll pass!
Duh! Where do I start.... well never mind, I'll pass!
My sentiments exactly! Now we are told it was Mugabe who sold the wazungus their land! Lord have mercy.
Mugabe hafai na anaiaibisha Zimbabwe na Afrika nzima; hayo madai ya USA na UK ni uongo anaotumia kujstfy hali ngumu ya nchi yake bila kuangalia madhara ya utawala wake mwenyewe. Mugabe ameanza kupigwa vita na watu wake kutokana na uongozi mbovu tangu mwaka 1997 hata kabla hajanyang'anya hayo mashamba. Alikurupukia kunyang'anya mashamba yale kusudi kulinda kiti chake wakati wa uchaguzi wa mwaka 2000 alipokuwa na wakati mgumu sana kisiasa. Katika kampeini hizi za sasa amekuwa anarudia maneno hayo kuwa hataondoka madarakani mpaka amemaliza kugawa mashamba yote ya wazungu.
Sidhani kama kuna watu wanabishia uningiliaji wa nchi za magharibi kwa interests zao lakini tusifumbie macho kwa jinsi naye Mugabe ambavyo anaiendesha Zimbabwe.
Debate inafurahisha hiiMkuu Kichuguu,
Unaposema MUGABE anaiaibisha ZIMBABWE na AFRIKA NZIMA unamaana gani??!! Anaiaibisha AFRIKA kwa nani??!! Ni nani huyo unayemuheshimu na kumtukuza kwa woga kiasi hicho??!! Au na wee ni wale wale akina Masanja wanaoendelea kuwatukuza wazungu akina bushh, condole na uk?? Msemo wako wa Mugabe anaiaibisha Zimbabwe na AFRIKA NZIMA kwa mtu mwenye akili kishaelewa kwamba unaongelea AFRIKA kuaibika machoni mwa WAZUNGU na WAASIA. Hakina unashangaza sana mkuu! Jipange upya.
Bila kujali motive ya westernes, mtu anayesababisha mamilioni ya raia wake kukimbia nchi kwa njaa na matatizo mengi hastahili kuwa kiongozi Afrika.
Hawa ndio wanaipa nguvu dhana ya Ngabu....wanaabisha Afrika.
Unfortunately hizi propaganda ndio pia zimewafanya wakuu wetu ikiwa ni pamoja na wabunge vijana kama Zitto, kumuona kuwa Mugabe ni kituko cha Africa. Upande mwingine wa shilingi wala hawahangaiki nao tena kuungalia.
Shame on them all.
mkuu...
Wanaiaibisha afrika kwa nani???!!!...........
Wazanzibar walipokimbilia Kenya kwa mauwaji yaliyofanywa na jeshin la serikali ya ccm ulichukua hatua gani?! Acheni unafiki na kujikomba kwa wazungu.
Kwa taarifa yako Tvangr.. hata akipewa urais na hao akina us na uk nakuhakikishia hatafika popote kwani usalama wa taifa na jeshi kwa ujumla hawamtaki. Na haohao wenye nchi (JESH) ndio waliomtaka Mzee Mugabe asiachie madaraka kwani wameapa kumlinda kwa gharama yoyote ile, na wako tayari kumwangusha kibaraka yeyote atakayewekwa na wahuni wa kizungu.