Niliwaambia Hawakusikia!watu Wenye Mtazamo Wa Wazungu Wanamuona Morgan Mshindi......!
Wenye Mtazamo Wa Kiafrika tunamuona mugabe Mshindi........!
mugabe Fight For Your Land....! Dont Let Vibaraka Wachukue Ardhi Huku Wewe Ukiangalia.....!
anachofanya Mugabe Sasa Ndicho Ilichofanya Tanzania Miaka Ya Nyuma.....! mugabe Uzi Huo Huo, Mpaka Kieleweke......!
Lakini sasa si Mugabe amechukua ardhi, mbona basi hali inazidi kuwa mbaya? Halafu hiyo ardhi iliyochukuliwa aligawiwa nani kama si wale wanaomzunguka Mugabe? Hapana, Mugabe ni dikteta tu. Kwa vitendo anavyowafanyia wananchi wake mwenyewe sasa hivi tunanvua ushujaa tuliompa wakati wa mapambano dhili ya ukoloni na mara baada ya uhuru wa Zimbabwe. Sasa hivi Mugabe si shujaa. Kinachoshangaza zaidi, kwa nini hataki kuachia madaraka kwa watu wengine ndani ya chama chake? Siamini kuwa Mugabe peke yake ndiye bora kuliko wanachama wengine wa chama chake. Kama asingekuwa ni dikteta, na kama angekuwa na busara, angelikuwa tayari ku-step down na awaachie wanachama wake wengine wagombee uongozi badala yake. Kulaumu wapinzani, UK, US ni visingizio tu. Kiongozi muungwana hawezi kusema kuwa hataachia madaraka hata kama atashindwa uchaguzi. Kama Mugabe hataki kuondoka madarakani ni kwa nini alikubali uchaguzi ufanyike, any way? Sina jina lingine la kumwita Mugabe isipokuwa la DIKTETA.Mkuu Kichuguu....
Ardhi siyo jambo la kupuuzia katika nchi iliyo huru.Wewe fikiria leo hii ungekuwa Tanzania halafu ardhi yote yenye rutuba iko kwa wahindi na wazungu wachache na wanaendelea kukuambia kuwa watu weusi hawawezi kumiliki ardhi kwa kuwa hawawezi kuzalisha wewe ndugu yangu ungelielewaje hilo???? na mbaya zaidi mkijadili suala hilo kwa kuwa linahusu wazungu wachache then UK na Marekani inaweka vikwazo vya kiuchumi na kukataa kulipa fidia kama mlivyokubaliana utalielewa hilo???..
Afadhali kama Zimbabwe ingekuwa ni nchi ya viwanda tungesema basi hawa ndugu zetu weusi wataenda viwandani lakini Zimbabwe ardhi ndiyo viwanda,ndiyo maisha,ndiyo utu sasa utafanyaje??? Hata Tsvangirai mwenyewe anaelewa kuwa akiigusa issue ya ardhi itakuwa ndiyo mwisho wa urafiki wake na UK na Marekani....upoo hapo mkuu
-Wembe.
Unajua Wadanganyika mnacheklesha sana...
Nyerere alipokuwa akitumia siasa za UJAMAA alitupeleka karibu kuwa taifa lisilojiweza kiuchumi.. Hapo ni sisi tuliyefunga milango ya kiuchumi kwa nchi nyingine na tulifikia mahala tuanze kula nyama za watu....
Leo Mugabe kafungiwa yeye milango yua kiuchumi mnafikiri ataweza kufanya nini kama sisi ndani ya Ujamaa tulishindwa!..Nitarudia kusema hivi kila kitu kinachoweza kuota Zimbabwe bila mbegu ya mzungu...ardhi imekwisha haribika kwa hizo mbegu za maabala..
Kisha ebu jaribuni kufikiria kitu kimoja, leo hii Tanzania tufungiwe kila kitu kutoka nje... nambie huko madukani kutakuwa na nini... Hata unga wa ngano tunaagiza, mchele,... jamani siku hizi ktk kila chakula chetu kuna kitu kinatoka Ulaya hata mkate utahitaji amira kama huna mkate hauwezi kupikika..
Nitarudia kusema kwamba binafsi namlaani Mugabe kwa vitendo vyake lakini siwezi kusukumwa na mzungu kwa vigezo vyake!..
Swala la Zimbabwe ni kubwa kuliko Mugabe peke yake ingawa ni bora sana akitoweka lakini haiwezi kurudisha amani nchi hiyo hadi haki na ardhi ya mzungu imepatikana.
nachowaomba mnambie ni ushauri wenu kwa jinsi mnavyoiona Zimbabwe ya kesho... mathaln akitoka Mugabe mtazamo wenu ni nani atawale?...hapo nawaomba mzingatie tu ya kwamba Mugabe akiondolewa kwa mabavu, basi mjue Zimbabwe ni Somalia nyingine ambayo kwa miaka 17 haina serikali. Wamekwisha kufa watu zaidi la laki 5..
Je, hii ndio Zimbabwe mnayoiombea?..Kama sio basi nambieni kile mnachokiona nyie na mimi sikioni..
Interest za mzungu zinajulikana, tuwaache nje tuzungumze sisi kama waafrika! nipeni solution ambayo hata Membe anaweza kuipendekeza kwa Mugabe na serikali yake..
Nachosema mimi suluhu ya swala la Zimbabwe ni kumwomba Mugabe akae pembeni tu na mtu mwingine ndani ya ZANU PF ashike madaraka hali wakijua kabisa kuwa vikwazo havitaondoka..nje ya hapo mauaji yataendelea na pengine kuhatarisha zaidi usalama wa nchi zote kusini mwa jangwa!
Mkuu Kichuguu....
Ardhi siyo jambo la kupuuzia katika nchi iliyo huru.Wewe fikiria leo hii ungekuwa Tanzania halafu ardhi yote yenye rutuba iko kwa wahindi na wazungu wachache na wanaendelea kukuambia kuwa watu weusi hawawezi kumiliki ardhi kwa kuwa hawawezi kuzalisha wewe ndugu yangu ungelielewaje hilo???? na mbaya zaidi mkijadili suala hilo kwa kuwa linahusu wazungu wachache then UK na Marekani inaweka vikwazo vya kiuchumi na kukataa kulipa fidia kama mlivyokubaliana utalielewa hilo???..
Afadhali kama Zimbabwe ingekuwa ni nchi ya viwanda tungesema basi hawa ndugu zetu weusi wataenda viwandani lakini Zimbabwe ardhi ndiyo viwanda,ndiyo maisha,ndiyo utu sasa utafanyaje??? Hata Tsvangirai mwenyewe anaelewa kuwa akiigusa issue ya ardhi itakuwa ndiyo mwisho wa urafiki wake na UK na Marekani....upoo hapo mkuu
-Wembe.
Fundi Mchundo,
Mkuu tatizo lako huelewi siasa za nchi za magharibi.. hao Anglo American wapo South Africa siku nyinghi sana wakichimba Platinum na hawawezi kusimama kujipanua unless wakatazwe na serikali ya UK...Hata Cuba zipo kapuni za Kiamerika ambazo zinaendesha shughuli zake kwa kupitia Brazil...Hata Iran si imewekewa vikwazo unafikiri ni mashirika ya wapi wanayochim,ba mafuta huko? Hizi ni siasa za uchumi siku hizi mkuu.. Muhimu sana kueplewa mapana ya biashara..
Nitarudia kuuliza wewe unataka Zimbabwe iwe kama Somalia?... kumbuka tu kwamba Somalia ni nchi pekee duniani yenye wakimbizi wengi nje kuliko population ya nchi hiyo.. Nipe solution kisha tutaongea... Kuhusu vikwazo unaweza ku google ukapata kuelewa zaidi.
sanctions Za Marekani Zinapatikana Hapa.[media]http://www.treas.gov/offices/enforcement/ofac/programs/zimbabwe/zimb.pdf[/media]
Please Note Kwamba Zinazungumzia Sanction Target Na Kuna List Ya Kuwa Hawa Ni Wakina Nani!
The United States is tightening financial sanctions against the government of Zimbabwe. President George W. Bush issued an executive order that will increase the number of individuals under sanctions, make it easier to target companies connected to government leaders; and give U.S. authorities the power to impose sanctions on the spouses and children of top Zimbabwean officials.
The sanctions are in response to clear signs that the government of President Robert Mugabe is not serious about restoring democratic freedoms. The blatant rigging of the March parliamentary elections showed that the government has contempt for democracy. The destruction of tens of thousands of low-income homes the so-called Operation Murambatsvina showed that the government has contempt for Zimbabwes people.
U.S. sanctions are not aimed at the general economy and do not impose an economic blockade on Zimbabwe. Zimbabwean firms not connected to government leaders are free to do business with American firms; Americans firms are free to invest in and trade with Zimbabwe, so long as they avoid business deals with top officials. Moreover, the United States will still provide humanitarian aid and help Zimbabwe confront the HIV/AIDS pandemic. Since 2002, the U.S. has provided more than three-hundred-million dollars of food assistance to Zimbabwe. Zimbabweans should not suffer because of the crimes of their leadership.
Fundi mchundo,
Issue hapa ni Zimbabwe usitake kudai kila nachosema na kuanzisha mada nyingine!..
Mkuu nimekwambia hizi ni siasa za kiuchumi lakini unaweza kuona mwenyewe ktk site hii kisha nipatie jibu wewe unavyofikiria hivi vitu vinapitia wapi..
http://www.msnbc.msn.com/id/18664571/