Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Kama MUGABE NI DIKTETA..WHAT ABOUT MWALIMU?
TALKING ABOUT UHURU WA HABARI?

I guess unalinganisha machungwa na nazi. Utawala wa Nyerere kipindi cha vuguvugu la kilichoitwa "mapinduzi" na musuguano wa vita baridi; wakati huo, nchi zilizojiita za kijamaa zilikuwa na utaratibu wa kutaifisha vyombo vya habari na kumilikisha serikalini. Hili lilikuwa ni kosa kweli kama sote tunavyofahamu, lakini ni kosa lilitokana na mfumo ule siyo kosa la mtu mmoja.

Professor Moyo alifanya kazi wakati makosa hayo yatokanayo vuguvugu la mapinduzi yameshajulikana na wala wao hawakuwa wanafuata mfumo wa kijamaa, vita baridi nayo ilikuwa imekwisha; hii ni miaka ya tisini. Hata hivyo yeye alikuwa akifungia magazeti selectively, siyo kwamba magazeti yote yalitaifishwa. Mengine yalikuwa yakifungiwa kutokana na uhusiano wake yeye binafsi na mwandishi au mtangazaji. Kuna jamaa mmja Mutumwa Mawere alikataa kumkopesha Prof Moyo pesa, matokeo yake Mawere akafungiwa kipindi chake cha Television.
 

What is the basis for your judgement?, does your judgement stem on consequences or primary cause?.Why do you think it is legitimate for Laurent Nkunda to de-stabilize democratically elected government and kill innocent people and no one seems to be bothered including the impotent institution called African Union?.What is so special in Zimbabwen blood compared to Sudanese,Somalis or Congolese blood?.
 

Kwa kukumbusha tu ni kuwa ilani na kauli mbiu ya CCM inasema 'Maisha bora kwa kila Mtanzania'.
 
Last edited:
Ulisema tuna poteza muda ku discuss ya Mugabe. Au?

Wakati tunamsubiri Zitto afanye mambo huko bungeni jumatatu...Bado kumekuwa na floods za PROPAGANDA MACHINE!

Kwasababu nina UHAKIKA kuwa tumeshashinda...At least kwenye OPTION ya kumtumia KIKWETE KUVAMIA KWA KOFIA YA UENYEKITI WA AFRIKA...Ni muhimu kutoa darasa la HISTORIA ili KIZAZI KIJACHO KIJUE!
 

Si walikuwa wanabisha?

Niliwaambia mmarekani anamilikiwa na mchina na mjapani!

AENDE HUKO AKAKUTANE NA ULE USEMI WA WEMBE MKALI...NGARAMBE ATAKALOKUTANA NALO HUKO!

NARUDIA TENA...MMAREKANI HATHUBUTU KUPIGANA NA MCINA KWANI HATA HAJUI VIZURI SILAHA ZAKE ZOTE!

ILA WANA INTELIJENSIA KUWA HIYO MUTU NI HATARI NA JESHI YAKE SASA NDIYO KUBWAREST!

NYIE MNAOPINGANA NA MIMI AMBAYE NAYAFUATILIA HAYA MAMBO HAPA US MNAKOSEA.

FIKIRIENI MARA MBILI.

MOJA WAPO YA HASIRA ZA WANANCHI WA HAPA NI UKWELI KUWA HATA WAO WAMESHAUZWA KWA MCHINA!

KAZI ZAO ZIMEHAMIA CHINA!

HAKUNA SIKU YA MUNGU WASIYOPEWA PESA NA MCHINA!

MCHINA MWENYEWE AKIKATAA KUMKOPA MMAREKANI BASI NA VITA YA IRAQ HAKUNA!

MUGABE AND SOME OF US SEE EYE TO EYE ON THIS WHEN IT COMES TO US AND CHINA.

UTAJIRI WA MAREKANI SI WA WATU BALI WA SERIKALI INAYOMILIKIWA NA MAKAMPUNI!

UCHINA WAO TOFAUTI!

ILA NA WAO MBINU YAO YA KUWAANGUSHA WAMAREKANI INAWEZA KUTIMIA KAMA WAMAREKANI WASIPOACHANA NA CORPORATE INTERESTS AMBAZO ZIMEPELEKEA DUNIA KUGAWANYIKA KWANI PESA NI MBELE KABLA YA UTU,UBINADAMU NA HATA UHURU!

HIVYO BASI....NARUDIA KAULI YANGU HII...KWAMBA KAMA TUKIKATAA KUMVAMIA MUGABE..THEN MMAREKANI MWENYEWE HATATHUBUTU KUPELEKA JESHI HUKO ZIMBABWE...NA NATO NAO WANASUASUA KWANI NI WAZI AFRIKA ITARUDI KWENYE VITA NYINGINE DHIDI YA MKOLONI!

HIVYO BASI WANATAKA KUTUTUMIA SISI WAAFRIKA!

WAKAJUA TUTAGOMA!

WAKAYATUMIA MAKAMPUNI HAYO HAYO YENYE KUHODHI SERIKALI ZAO KUWATEGA VIONGOZI WETU NA KUWAGEUZA MAFISADI ILI WAWATUMIE KWENYE MBINU HIYO YA AFRIKA HUSUSAN ZIMBABWE!

HVI KWELI KAMA MMAREKANI ANAPENDA HAKI YETU SISI WANYONGE...THEN BADALA YA KUHAKIKISHA KUWA KILIO CHETU KINASIKILIZWA NA RAISI WETU..KILIO CHA UFISADI KINACHOSHIRIKISHA MAKAMPUNI YA WAMAREKANI...THEN KWANINI WAMTUME ZIMBABWE NA WALA WASIMSHAURI KUUSHUGHULIKIA UFISADI ULIOZISHIRIKISHA NCHI HIZO MBILI?

JE WALIMTEGA?

TUNASUBIRI MAAMUZI YA KIUNGWANA ILI UWEZE KUINGIA KWENYE HISTORIA YA DUNIA YA WAZALENDO.

OPTION YAO YA MWISHO NI KUMPA TSIVANGARAI SILAHA!

NA WAKIFANYA HIVYO PIA TUPINGE!
 

Ukabila wa mwalimu..Umepelekea nchi yetu kuuzwa!

MREMA NI SHUJAA!

MWALIMU BADALA YA KUSAPOTI MAPINDUZI DHIDI YA UFISADI...ALIKUMBATIA UKABILA NA MASLAHI YA ccm!

Mna kumbuka alipomwambia Mrema...I can't let my county go to the dogs?

WHO IS THE DOG AND WHO IS A PUPPY?

ON TOP OF THAT...WHO IS A WOLF?

MREMA?

OR IS IT NYERERE MTUPU(MKAPA)?

Kuna wale waliojustify kauli hii ya ki DARWINISM kwa kusema hakumaanisha MBWA bali kuwa halitakii taifa matatizo!

Je matatizo hayo ndiyo hayo ya PINDA HAKI MIZWENGE YA SIRI YA JESHI NA UMWAGAJI DAMU?

Ni siri ya jeshi waliyoenda kuambiwa huko BUTIAMA KUWA KUNA WATU WASIPEWE NCHI NA HATA IKIBIDI JESHI LICHUKUE NCHI?

KUNA BAADHI YA MAKABILA AMA WATU FLANI FLANI TU NDIO WATAWALE?

HIYO ISSUE YA MKUU WA JESHI KUMTETEA MKAPA AMBAYE FAMILIA YA NYERERE IMEKATAA KUMTOA KUMVUA UANAFAMILIA WALIOMTUNUKIA WALIAMBIWA NINI NA MWALIMU KAMA SIRI YA JESHI?

WHAT WAS THE BUTIAMA DECLARATION?

WHAT WAS THE DOGS?
YANGU MACHO!
 
SWALI HILI NI KWA KILLANGO....KATI YA MREMA NA MKAPA WHO IS THE DOG?

Na kama mkikumbatia sera za ccm YA MAFISADI iliyokufa siku alipokufa mwalimu...THEN WHO IS REALLY TAKING OUR COUNTRY TO THE DOGS?
 
huyu Mzee Hana Dili. He Was A Hero To Me When He Was Inside. When He Agreed To Play Ball And Sell Out, Yaani Sijui Namwonaje Tu.
hivi Kwanini Hakuja Kwenye Mazishi Ya Nyerere? Kuna Mtu Kanikumbusha Hapa.

Mkapa Ni Nyerere Family!
Kwa Kifupi..mkapa Anaweza Kuandika Jina Lake Hivi...benjamin William Mkapa Nyerere!

Familia Ya Mwalimu Iliombwa Na Watanzania Kumuondoa Huko..wakakataa.

Issue Ni Kuhusika Kwa Mkuu Wa Majeshi Chini Ya Mkapa...musuguri!

Sasa Musuguri Ana Maslahi Na Meremeta!

Mkapa Kama Alikuwa Butiama...basi Musuguri Was Defenetly There...and If Not...then Uwepo Wa Mtupu Mwenyewe Uliwakilisha!

Kuuza Nchi Kwa Mkapa Aliyepigiwa Debe Na Mwalimu Labda Kulizua Tatizo Kwa Baadhi Ya Wazalendo Wa Afrika!

Trust Me Kuna Siri Nyingi Sana!

Mwalimu Hakuwa Kiongozi Mzuri Kabisa Tumeshagundua!

Hivyo Kumwandama Shujaa Wetu Wa Afrika Simply Because Of Mazishi Ya Mwalimu..then Mnamwonea!

Wamwondoe Mkapa Kwenye Familia Yake Ili Hishma Ya Mzee Wa Watu Irudi!

Hilo Dili La Ufisadi Lilianza Miaka Ya Kati Ya Tisini...south Afrika Imo Ndani....mandela Hakujua?
 

..richard,hiyo avatar imetulia,wapi hapo,new mexico?

..sasa,huyo morgan si kwamba watu wanamtaka[hao uk]bali ndo pekee so far anayeonekana ataiweka zimbabwe kwenye transition. remember Laurent Desire Kabila?

..vyovyote vile ilivyo[ukweli wa nani,uongo wa nani]robert needs to step aside,awaache wazimbabwe wasonge mbele.
 
SWALI HILI NI KWA KILLANGO....KATI YA MREMA NA MKAPA WHO IS THE DOG?

Na kama mkikumbatia sera za ccm YA MAFISADI iliyokufa siku alipokufa mwalimu...THEN WHO IS REALLY TAKING OUR COUNTRY TO THE DOGS?

..inaonekana unaichukia ccm kama ambavyo wazungu wanavyomchukia mugabe!

..just thinking out loud!
 
Wasiwasi wangu hilo litakuja Bongo muda sio mrefu kama hali hii itaendelea, na JK atatengua mikataba yote mibovu.

Mafuchila utabiri wako huu....Kama Kikwete naye yumo hapa jamvini...Jambo ambalo kwa hakika yupo...Nitafungua thread ya kumpa ushauri wa kizalendo.
Thread ambayo mawazo hayo yatatumika kama ushauri huo wa wazalendo!
 

..fundi,

..siwezi kuongea zaidi.
 
Kuna wale wanaotaka kuishusha hadhi ya MADIBA HAPA JAMVINI ETI KIFO CHA NYERERE...MKAPA NI MADIBA ALIMPA NCHI?
KWANINI KINA MAKONGORO WAMEKATAA KUMWONDOA KWENYE FAMILIA YA NYERERE KAMA KWELI MWALIMU NA YEYE ALIKUWA SAFI?
AMA HIYO NAYO SIRI YA JESHI?
 
Mafuchila utabiri wako huu....Kama Kikwete naye yumo hapa jamvini...Jambo ambalo kwa hakika yupo...Nitafungua thread ya kumpa ushauri wa kizalendo.
Thread ambayo mawazo hayo yatatumika kama ushauri huo wa wazalendo!

..bora umtumie sms au umwandikie barua.
 
Kuna Anayejua Story Ya Zambia,copper,kilimo,nyerere Na Kaunda?
Nani Anapanga Bei Za Vyakula Na Madini?

Mfano mzuri wa mwalimu ninaoukumbuka huu hapa...Kaunda alitegwa na MATAIFA YA MAGHARIBI.

Mwalimu alimkanya...Akamwambia ni shurti ujikite kwenye kilimo kama alivyokuwa akisema mwalimu kuwa SIASA NI KILIMO..

Mkoloni alipanga kurudi AFRIKA KABLA HAJABWAGA MANYANGA.
KINA MUGABE KWISHA GUNDUA!

Waliipandisha bei ya madini hayo ya copper ya Zambia na kumpa Kaunda KIBRI.

Ila hawakumwani KAUNDA kwani na yeye bado alikuwa rafiki wa MWALIMU aliyejidai kusema SIASA ETU HAZIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE NA HUKU NI WAZI ALIWAKUMBATIA CUBA,RUSSIA,CHINA NK.
Kaunda alisahahu kuwa bei za madini zinapangwa na MKOLONI HUYO HUYO.

Na ndiyo maana wakanunua copper za kutosha halafu wakaishusha bei kwenye world market na kuanzia hapo UCHUMI WA ZAMBIA MNAJUA!

KAHAWA ZETU HIVYO HIVYO..SASA VIONGOZI WETU WAMEAMUA KUWAUZIA NCHI JUMLA NA WANANCHI NDANI YAKE!

Mwalimu alikuwa na wazo zuri ila hakuplay smart kama MADIBA!
WAKAWA WANAMTUNGIA SHERIA TU!

NA YEYE AKAJIPINDUA KWA FELINGS BINAFSI NA KUSEMA MKAPA NI SAFI NA HUKU AKIWA NA SAPOTI YA WANAMTANDAO.

Mwalimu pia alishasahu hata vyakula hivyo wazungu wanapanga bei.

Hatukuweza kuzalisha hata cha kututosha wenyewe kwani fedha za kodi ni za USALAMA WA MAFISADI na SIRI ZA JESHI.

HIVYO BASI...TANZANIA AMKENI NA MCHAGUE VIONGOZI WA KWELI WAZALENDO BILA KUJALI DINI WALA KABILA!

KIONGOZI ATAKAYESEMA KUWA YEYE NI MTANZANIA KWANZA...HALAFU KABILA LAKE NA DINI!

WATANZANIA AMKENI!
 
lets think deeply as zimbabweans, you wake up in the morning, you ccant fuel you car, bcoz there is no fuel at the petrol stations, think deeply, you want to buy just a bar of soup, you need at least to carry a 5kg of zimbawe dollars to the shop! think deply about one third of zimbaweans youth migrated to south africa! think deelpy about the sufferings of our brothers and sisters in zimbabwe! bcoz of mugabe, the old man!believing that he is hero! bcoz he .saved zimbabwe from colonialist!

but under colonialist, wazimbabwe walikuwa wanapanga foleni kupata mafuta ? were they carrying 5kg of their currency to buy a bar of soup? walikimbia nchi yao kama sasa?

franlky! matatizo ya sasa ya zimbabwe ni ya kujitakia kwa kukumbatia jongwe wao mugabe
 

Na sisi ya kwetu ni ya kukumbatia nini? Jongwe letu sisi nani?
Mkapa ama ccm?
Ama kweli nyani haoni...
MATATIZO YETU YA KUUZWA KWA NCHI AMA KWELI NI YA MWALIMU KUTUTAKIA!
 
I Was Talking About Zimbabwe, Ya Kwetu Yanajulikana, Na Kwa Kweli Yanafanana. Kukumbatia Vitenge Na Pilau Kwenye Uchaguzi, Mpaka Tunawapeleka Akina Chitaliko Bungeni
 
BUNGE LITASAHAU MASLAHI YA JESHI AMA ccm?
Maslahi ya THE PEOPLE VIPI?
YANI USHAIDI NI NJE NJE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…