Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

mi nakutazama tu.....ukileta fujo nitakutafutia Bakari Mambeya au Jimmy Master wakukaribishe uzuri Tanga...au nikiwakosa hao nitaenda kumtafuta Muddy Faki wa stendi ya Bembea barabara ya 12 pale.

Leta maneno maneno mengi...kesho ntakuwa tanga kukagua njia mtazopita ...nakuangalia makoloni yangu.
 
Vipi kwa sisi tunaotokea Mwanza ?

wewe si nilisikia fastjet wanafadhili safari zako za mwaka mzima? Usijali, nna mchumba wa zamani nyumbani hotel, ndo mshika vifungua vyumba. Tuna free accomodation.
 
mie mzima....wewe si unajificha wakati wenzio twakutana

mbona nshasema, tanga mie ndo mwenyeji wenu. Ila naenda na chopper, si unajua tena Paw mutu kubwa, anasema barabara zimeharibika sananadiversions na bumps zinamkera.
 
mbona nshasema, tanga mie ndo mwenyeji wenu. Ila naenda na chopper, si unajua tena Paw mutu kubwa, anasema barabara zimeharibika sananadiversions na bumps zinamkera.

hahah haya bhanaa wakati nyie mkienda kwa chooper,siye wengine tutakua kwa cruise ship...tunaanza safari tar 24 hivi, chrismas visiwa vya karafuu, boxing day tutakua Wete halafu 28 ndio tunatia nanga kule mapenzi yalipozaliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom