Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Wakuu.....muda unasogea na bata tunataka kula.....bila kuwezesha itakuwa maneno mbofumbofu.....
hivyo basi......kamati kuu imependekeza....tarehe ya mwisho ya kupokea mshiko ni 21st Dec 2012.....ili kuweza kupanga mipango rasmi ya safari nzima........hii inawahusu wote watakaoanzia safari Chugga.......

Wafuatao ni members ambao wamewakilisha michango yao kwangu.......na nitaendelea kuwaorodhesha kadri nitakavyopokea michango yenu...........

1. Filipo
2. Marejesho
3. PakaJimmy
4. Preta
5.Blaki Womani
6.Blaki Womani2
7.Lily Flower
8.Arushaone


Kwa maoni na ushauri.....usisite kuwasiliana nami au PakaJimmy..........

Tafadhali: Naomba tusichakachue thread......kwa wanaouliza nauli ni Tshs 100,000.... M-pesa haihusiki.........
 
weraaaa weraaaa....nishawaandaa wamama wa kidigo wawakoshe na maji ya hiliki
 
Mambo yamewiva!!!!Fanyeni haraka muda wa " JET" kutake off unakaribia!!!!
 
Dady huendi?

i'll be there pumpkin....ila nimetangulia huku kuweka mazingira sawa kwa vijidume vya kweli vya CC, mlio na waume wafungeni bluetooth kabisaaaa maana kuna mijimama ya Kidigo ina hamu sana na vidume wa Bara....
 
Yaani waliowakilisha michango hadi hivi sasa ni wawili tu? :becky::becky:
 
Yaani waliowakilisha michango hadi hivi sasa ni wawili tu? :becky::becky:

ni hao tu mpaka sasa.....ila nawaaminia....mpaka tar 19 nitakuwa nimewapata wote.....karibu twende......
 
Preta pls usinisahau! Ebu ni PM mambo ya MPESA tumalizane mama
 
i'll be there pumpkin....ila nimetangulia huku kuweka mazingira sawa kwa vijidume vya kweli vya CC, mlio na waume wafungeni bluetooth kabisaaaa maana kuna mijimama ya Kidigo ina hamu sana na vidume wa Bara....

upo tanga kumbe? Mbn hujanambia
 
Yaani mpaka Preta mwenyewe hajawasilisha ! Naona mamneno mengi vitendo hakuna!
 
Last edited by a moderator:
Ikibidi tutakwenda zetu kujikumbushia honeymoon!!Isiwe tabu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom