Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Weraaa weraaa.....walioconfirm safari ya Tanga......

Very much dear na vile ambavyo ni ngumu kujua kama upo online au lah!....nilijua bado upo jimboni dear...
halafu dear mpigie kura charminglady kwenye umiss wa CC...mwaah!!

ok sawa......nakwenda piga kura saa hii.......
 
At least idadi imeongezeka! Ngoja nianze kushuka huku magamba uushoto mpaka nifike mombo kwa mguu itakua ndo tarehe 28 hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom