wera wera bye bye 2010

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
kazi ipo dunian humu umefanya mema mangapi umetenda mabaya mangapi umevunja ndoa ngapi kazi kwako mbingu ya pili haya tukisubiri 2011 basi tuache hayo yote jamani kama awajakukawawa wakina sheikh yahyha
 

Attachments

  • werawera1.jpg
    werawera1.jpg
    34.5 KB · Views: 81
  • WERAWERA 2.jpg
    WERAWERA 2.jpg
    54.5 KB · Views: 92
Mkuu we doub;e klick utaona mambo yake liveeeeeeeee
 
haha si mchezo......majamaa wanajua wakiacha bia zao mezani wataibiwa......:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
duh hii picha ya pili kiboko.....kama nausikia wimbo vile.........kiwa zenza kiliwayaya ngelingeli bonge kiwazenza!!!
 
Back
Top Bottom