Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Hio ndio decent life kwako?
Pombe ina shida gani? Wanaomiliki viwanda vya pombe wengi tu ni viongozi makanisani na wengine ndio wanaongoza kutoa michango mikubwa makanisani.
Kwenda kanisani au masikitini sio kitu kikubwa sana, watu wa kila aina wako huko.
 
Mungu anakupenda sana..ndo maana umepata hiyo guilty ya matendo Yako .badilika umrudie yy Kwa kuisha maisha yampendezayo
 
Hio ndio decent life kwako?
Pombe ina shida gani? Wanaomiliki viwanda vya pombe wengi tu ni viongozi makanisani na wengine ndio wanaongoza kutoa michango mikubwa makanisani.
Kwenda kanisani au masikitini sio kitu kikubwa sana, watu wa kila aina wako huko.
Ndio maisha nayowish kila siku.. pombe imepoteza wengi nimeshuhudia ndugu, marafiki hata majirani wakipoteza muelekeo kwa kuendekeza ulevi
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Kama moyo wako unaumia kuwa na hali uliyonayo tofauti na vijana wachamungu,basi unabahati ukokaribu kuyaacha yanayosumbua moyo wako.usione aibu kuwauliza na kuwaomba msaada. YESU na baadhi ya mitume walikuwa wakiulizwa "tufanye nini sisi" Na jibu siku zote lilikuwa Tubuni.
 
Umri Chief, kuna umri vijana wengi tunakuwa hatujitambui wakati ndio muda wa kutengeneza utajiri kabla majukumu hayakubana sana, ukija kustuka 35 hiyo hapo na uzee ushaanza. Unakuja kujipata una 40 naaa.

Kijana ukiweza kujitambua kwenye 25 mpaka 35 financial freedom unaitengeneza mapema kabisa. Ma vacay ya Malvides kwako yanakuwa kawaida sana.
Mkuu Ma vacay ya Malvides ndio nini hiyo,?
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Mkuu m naona hiyo tabia yako itaisha yenyewe automatically tu, we kuwa na amani

Huwez amini kuna mwingine anaishi decent lakini nae anatamani mara moja moja kuvurugwa kama ww,

Kwahyo cha kufanya ishi na ufaidi kwelkwel 😀 😀
Ili usije lialia mbeleni kwamba kwanini hukufaidi vilivyo zile enzi za kutesa.
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Kama una familia fanya familia yako as a part of starehe, kila sehemu unayo taka kwenda kula bata nenda na mwanao, mama yako, dada yako etc Automatic utaanza kujua Starehe za kifamilia na kuachana na mambo mabaya.
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Life tamu Sana hili...ni vile tu sio rahisi kuwa hivi.

Nadhan wazee wengi wa anasa Sana hatunaga furaha wala amani endelevu
 
Daaah... mwanangu upo kama mimi... Yani the moment naanza kukumbuka kidogo kadecent life flani hivi ujue hapo mfukoni nimeishiwa kabisa.. Lakini mgodi ukitema narudi kulekule dah.. Nawaonea wivu sana wanaoishi decent life,tena unakuta mda wote wana vihela vya akiba vya kutosha... mi hata hela ya akiba huwa siwezi kuweka,... wiki tu nishakausha yote.
Mwaka 2019/2020 nilipigwa na maisha sana karibu kila siku nikitulia wazo kichwani linakuja "inatakiwa niokoke", since then walau sasa kiuchumi niko vizuri, nashangaa sijawahi kuwaza kuokoka toka kipindi hicho......
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Dah!
 
Toka niende msibani huko rombo mkifika ni mnapokelewa na supu, nyama na ndizi mbili, na soda na maji ya Kilimanjaro,

Hapo usiku kote njiani watu wanalewa tuu,

Acha Nile nikifa niwe mzito angalau
 
Back
Top Bottom