Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Solution tafuta pisi 1, Badilisha Mazingira, marafiki, jipe majukumu zaidi ukiwa na muokoto & usibebe muokoto mrefu mfukoni.

Binafsi miaka kadhaa nyuma nilikua hiyo njia kwa mda siku moja nikachukua maamuzi ya kuchange for good!

Bro to Bro "Pombe na Malaya ni downfall ya vijana wengi kiuchumi.
Sikupingi nilishakua kwenye hii situation Shetani yupo
 
Mkuu achana na yote ila sio wanawake na mtu anaekushauri uachane na wanawake anakupa ushauri wa kipumbavu, kaa nae mbali sana.

Mwanaume uachane na wanawake, umuachie nani? Pombe, sigara, bangi na mengineyo hayana faida kwa binadamu ila sio kuchakata wanawake. Asikushauri mtu upumbavu kama huo eti acha wanawake.
 
Mwaka 2019/2020 nilipigwa na maisha sana karibu kila siku nikitulia wazo kichwani linakuja "inatakiwa niokoke", since then walau sasa kiuchumi niko vizuri, nashangaa sijawahi kuwaza kuokoka toka kipindi hicho......
Uliokoka lakini??
 
Nimemwomba MUNGU.soon naacha bangi ni na naungana na yule mtoto wa kisukuma.
Nimeacha vyote ila bangi nimeshindwa. Nikivuta bangi huwa nakaa peke yangu naweza nikahesabu kurasa za Biblia au Quran kisha nacheka sana.
 
Ingia madarasa ya kiroho ujifunze kuishi maisha ya kiroho Maisha ya ndani maisha ya amani na furaha
 
Usiache kufanya matambiko kwa kigezo Cha kuokoka, mizimu inasaidia kurudisha watu kwenye mstari
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Nakucheka kwa dharau!😜😜😜 sisi wengine haya ndiyo tulivyozaliwa nayo na mpaka leo ndiyo tunayaishi! Yaani watu wakituona tu wanajisemea hapa nimekutana na Binadamu! Ila yataka moyo, mitego tunayokutana nayo siyo ya kitoto!
 
Badilisha marafiki, kwa kiasi kikubwa rafiki yako ana mchango wa wewe kuharibika au kuwa salama zaidi.

Nilipokuwa sekondari baba yangu aliwahi kunikataza kuwa rafiki na aliyekuwa rafiki yangu kwa wakati huo, tulikuwa marafiki wa kushibana na sikumsikiliza mzee. siku moja alinipa kipigo cha mbwa mwitu, mwisho nikaacha urafiki na yule rafiki yangu. Hakuwa na tabia nzuri. Miaka ya mbele yule rafiki yangu alikufa na ukimwi. Tuwaheshimu sana wazazi wetu kwani wanatupenda kweli
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Naukivuka shimo litatema dry mpk urudie mtungi na malaya
 
Back
Top Bottom