Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Tehe tehe tehe
 
Mabadiriko ya kweli, yanaanza na wewe!! Piga chini marafiki mnakutana kwenye hayo mambo usioyape, Kisha tengeneza marafiki wapya wenye mlengo unaoutaka.
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Daaah... mwanangu upo kama mimi... Yani the moment naanza kukumbuka kidogo kadecent life flani hivi ujue hapo mfukoni nimeishiwa kabisa.. Lakini mgodi ukitema narudi kulekule dah.. Nawaonea wivu sana wanaoishi decent life,tena unakuta mda wote wana vihela vya akiba vya kutosha... mi hata hela ya akiba huwa siwezi kuweka,... wiki tu nishakausha yote.
 
Ukiondoa hilo la mmke ambaye sina, hayo mengine tumeamua kutulia na maisha na kujikita kwenye kuongeza value ya maisha yetu
 
Ukiacha mafundisho ya kidini,malezi ya wazazi na misingi ya maadili ya kijamii,the only thing to discipline a human..is through knowing and fulfilling his/her vision.
If you don't have a vision to chase,you will chase destruction.

If you don't stand for something,you will fall for anything.
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Hiki unachokiwaza ndio wewe HALISI, hicho unachokitenda siyo wewe , Sasa ukisikia hamu ya Malaya wakati una pesa, jisemee moyoni huyu siyo Mimi, hamu ya pombe SEMA pia huyo siyo Mimi, Mimi sinunui Malaya,Mimi sinywi pombe,taraatibu wewe utaanza kuishinda hiyo roho

Ukiwa umepoteza roho huwezi kuwaza unavowaza, utaona Hilo life ni sahihi , na hao wanaoishi low life ni washamba , wewe Bado una uhai rohoni
 
Uko na total Control ya maisha yako, ukiona unaanza kusingizia 'force', 'marafiki' etc, ujue tu unatafuta visingizio visivyo na msingi wowote, Kila kitu muamuzi ni wewe, ukiamua kuanza kwenda kanisani hakuna wa kukukataza ni kama sisi wengine tulioamua kuachana na mambo ya dini kabisa, Ukiamua kuacha kunywa pombe hakuna kinachokuzuia ni kama sisi wengine tulivyoamua kuwa wanywa pombe, ukiamua kuoa/kutulia na mwanamke mmoja hakuna wa kukukataza ni kama sisi tulioamua kuwa wazee wa kununua + hit & run. Zingatia neno Kuamua/maamuzi. Mengine yote ni ramli chonganishia.
Ila mwisho wa siku inabidi utambue hautotoka katika ulimwengu huu ukiwa unapumua, itumie pumzi yako kadiri uwezavyo ilimradi upo hai haina kikomo cha matumizi
 
Upo sawa hapa. Mimi ni introvert huwa sijichanganyi sana na watu so watu wengi wanavyonifahamu ni kinyume asilimia 80+ na uhalisia.
Basi mtoa mada akikutana na wewe anakuona umenyooka kama rula kumbe ni bora hata yeye ana afadhali

Wengi wa wanaume wanaoenda kanisani na misikitini ni wahuni na washamba wa starehe za wazi, huwa wanajificha ila wanayoyafanya ni makubwa kuliko hao wanaojionesha waziwazi
 
Uko na total Control ya maisha yako, ukiona unaanza kusingizia 'force', 'marafiki' etc, ujue tu unatafuta visingizio visivyo na msingi wowote, Kila kitu muamuzi ni wewe, ukiamua kuanza kwenda kanisani hakuna wa kukukataza ni kama sisi wengine tulioamua kuachana na mambo ya dini kabisa, Ukiamua kuacha kunywa pombe hakuna kinachokuzuia ni kama sisi wengine tulivyoamua kuwa wanywa pombe, ukiamua kuoa/kutulia na mwanamke mmoja hakuna wa kukukataza ni kama sisi tulioamua kuwa wazee wa kununua + hit & run. Zingatia neno Kuamua/maamuzi. Mengine yote ni ramli chonganishia.
Ila mwisho wa siku inabidi utambue hautotoka katika ulimwengu huu ukiwa unapumua, itumie pumzi yako kadiri uwezavyo ilimradi upo hai haina kikomo cha matumizi
Si kweli kama ingekuwa maamuzi tu basi pasingekuwa na addiction ya pombe, bangi, drugs nk
 
Back
Top Bottom