Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Kila mtu ana maisha yake. Me nashkuru nimeachana na pombe. Nimehamia kwenye mitungi😁
 
Ki chululu kitamu.....aseeeeeeeee
17517408018042791854851949076584.jpg





Kichululu kitamu aseeeeee hapa nasubilia muda uende Nile hiki kichululu..........😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍





Povu ruksa........😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Kama kweli umedhamiria kuacha na hauna fimilia inayokutegemea fanya hivi.
βˆ† badili makazi yako chapu/ Permanent resident
Kama upo town na hauna kazi maalum kam ajira ya gvt. Tafuta mishe vijin au mkoa mwingine.
βˆ† Badilisha marafiki zako.
Hii ukiweza utaweza utakuwa umepnguza vishawishi hadi 30%. Kam wao ndio chazo basi Badilisha simu futa contact zao then Tafuta marafiki wengine wasiopenda hizo mambo afu Usipatikane kila wakati.
βˆ† ukienda ugenni usijue machimbo ya hizo mambo wala piskali.

NB change location and kuwa bize sana na mishe za kazi yoyte kam unamwamin mungu hudhuRia sehem kam church/masjid. Within a year maisha yako yatachange utakuwa mtu tofauti kabisa.
 
Ki chululu kitamu.....aseeeeeeeeeView attachment 3395270




Kichululu kitamu aseeeeee hapa nasubilia muda uende Nile hiki kichululu..........😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍





Povu ruksa........😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
Mpo chumbani mnavaa nguo kwan nyie ndugu kaeni utupu..
 
Tafuta pisi kali yenye akili....kidogo tu.....umemaliza
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Tayari umeshafika Mbali

Je,unataka kufika Mbali ya wapi wakati haya ndio Maisha?

Acha wenge piga tungi kujipongeza usinywe sana pombe ukiwa na mawazo.
 
Back
Top Bottom