Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
😁😁😁 Big Balls
 
Ni maamuzi tu ukidhamiria na ukielewa mazingira yako vyema vyote hivyo utaviona havina maana.

Ulichokianzisha ukiwa na akili timamu huwezi kushindwa kukimaliza/acha kwa sababu wakati unakianza ulikuwa umeshaona yaliyowapata waliokutaangulia kuyafanya,wengi wenye hali hii huwa mnajidekeza mkiamini huo ni moja wapo wa udhaifu wenu kumbe sivyo.
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Decent life ni kwenye macho yako tu unavyowaona ila nyuma ya pazia wapo kama wewe

Ukute kuna mtu anakuona kama mtakatifu hapo kitaani kwenu
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Bora umejua tatizo lilipo.
Weka nia kama huna mke oa kisha mkeo awe sehemu ya maisha yako.
 
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.

Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui

Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
kmmk aise
 
Back
Top Bottom