Nimejifunza kuwa upendo wa mwanamke hukolea jinsi siku zinavyosogeaKimsingi umeamua kuumiza moyo wa mtu kwa makusudi
Nawish binadamu tuwe tunapendana milele,yaani mfano nikianzisha mahusiano na mtu basi ndio awe huyo huyo hadi mpaka kifo
Asa wewe umemkoleza dada wa watu kakupenda kweli halafu unataka kumuacha tena....sio vizuri
Maisha hayako feaDu na huyu mke mtarajiwa si ajabu hajakupenda wewe kivile. Kuna mtu anaempenda zaidi lakini hajawahi kumtamkia ndoa.
Njoo kwangu tupendane milele hadi kifo😎 mi siachagi mwanamke toka nilipojitambua.
Huyu mpenz wangu mpya mbali na kuvaa ni mzuri sana kuanzia rangi yake sioni kitu cha kunizuia nisimuoe wakati mwenyewe kanikubali hata sikutegemea siwezi poteza hii bahati wakuu huyu mtoto ni chombo haswaaMwamba kafeli sana, esp. hapo aliposema emmy hana kasoro yyt.
Huyu itakuwa kavutiwa na mdada wa mjini huyo anaejua kupiga pamba na makeups kisa ana chench za kupiga taizi...nahisi Emmy yupo natural zaidi mshamba kwa mbali. Ila wanawake design ya Emmy ndio wa kuoa.
Kwani vina muda basi 😂😂😂Tusubiri kwanza niliyenae sasa aniache 😁
Nimejifunza kuwa upendo wa mwanamke hukolea jinsi siku zinavyosogea
Kweli mkuu mwanzoni emmy alianza akiwa wala hanipend sana ghafla tu kaanza kunipenda kiajabu ningejua nitampata hyyu ningemuacha ule mwaka wa kwanza wala asingelaumu kama sasa hivi anavyonipa tabuuNimejifunza kuwa upendo wa mwanamke hukolea jinsi siku zinavyosogea
Kwani vina muda basi 😂😂😂
Utakuja kuanzisha nyuzi hapaTutaachana tu e?🤣🤣🤣
Utakuja kuanzisha nyuzi hapa
Ila kufanya uasherati inakuruhusu? Hiyo dini yako.Dini yangu hairuhusu mkuu jambo hilo
Hivi wakuu mbona mnacoment vibaya hivi hata nyinyi najua wengi wenu mnadate na mtu wa 10+ hao wengne mbn mliwaacha hamkuoa wa kwanza tu kumpata maishani?Siku atakayomkuta anachilwa ndani ya nyumba na kitanda wanacholalia pamoja atajifunza kitu kuhusu wanawake![]()
Naihifadhi hii, watu wana watoto na waume wanakuja jukwaani kutema nyongo...muda ni msemakweliAm too old for that aseee!
Ikitokea nikaachwa nitalia kimya kimya
Naihifadhi hii, watu wana watoto na waume wanakuja jukwaani kutema nyongo...muda ni msemakweli
Ushakuwa malaya kumbe 😂😂😂Hahahah kwanza sa hivi nikiachwa sitakuwa na muda wa kuwaza sana
Niko na spares za kutosha
Ushakuwa malaya kumbe 😂😂😂
DuuuhUmempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.
Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.
Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.