Na huyo mzuri atakuja kukupiga kazi hutaamini kama ni yeyeeee πππ!!! Mchawi ni muda tuYaani mkuu acha tu yaani hata kitu kidogo tu anaridhika huyu dada ila kumuoa akkili hainipi kabisa nimempata mdada mzuri sana na nampenda mno huyu ndio mke wangu mtarajiwa
Maisha ni ya ajabu sanaDu na huyu mke mtarajiwa si ajabu hajakupenda wewe kivile. Kuna mtu anaempenda zaidi lakini hajawahi kumtamkia ndoa.
Na ndiye mtu ambaye atakuvumilia on your darkest days sababu amefungamana na wewe kwa upendo sio maslahi binafsi πHakuna kazi nyepesi kama kuishi na mtu anayekupenda sana yaan ukimfanyia kitu kidogo tu anafurahi na kuridhika,
Oeni wanaowapenda siyo mnaowapenda. Mkifanikiwa kubwagana namuomba huyo Emmy
Alitakiwa amuweke wazi tangu mwanzo kuwa hakuna malengo, Aliona kabisa jinsi dada wa watu alivyokuwa anaendelea kuzama penzini kakaa kimya tu. Not fairWe waliokupenda umedumu nao milele [emoji23]?
Siku atakayomkuta anachilwa ndani ya nyumba na kitanda wanacholalia pamoja atajifunza kitu kuhusu wanawake πππJiandae kisaikolojia mzee lazima utaumizwa na wewe tena na huyo huyo unayempenda piga ua lazima
Hiyo tunaita natural law
Ni suala la muda tuu
Na lazima utamkumbuka emmy wako
Mwanamke ni tabia mzee sio sura wala tako
Jiandae kabsaaaa kuna tukio litakutokea hapo mbeleni
Tumuache kwanza ulimwengu umfunze...lau ungejua mapenzi yalipo na yanapoanzia usingeweza au kuwaza kufanya huu ujinga...
Najua kuna ile inner voice inakuambia hvi...hivi ndugu na jamaa watanionaje nikimuoa emmy, afu emmy sio mzur wa sura,afu hana tako sio mweupe..
Lakini emmy ananipenda na ana adabu,pia ni mtamu...nitawezaje kumuacha.
afu inner voice nyingine inamuongelea huyo mwanamke mpya...inasema, huyu ni mzuri kuliko emmy ata nkitembea nae njiana naonekana natembea na chombo kweli, ndugu na jamaa macho yatawatoka lazima wanisifie,mtoto anashepu nzur,tako lipo....naamini ananipenda kuhusu tabia hii tutaelekezana Mana Mimi ndo mwanaume..
Apo kuna inner voice inayoambatana na emotions (mihemko/hisia) hii hutokea ktk moyo na kuna nyengine haiambatani kabsa na emotions hii hutokea ktk ubongo...ndo pale unaweza mpenda mtu lakini usiwe na hisia nae au unaweza ukampenda mtu lakini ukikaa peke ako nafsi inakusuta yaani ubongo unamkataa kabisa..
Yaani kuna muda ubongo na moyo hutofautia ktk kutoka ushirikiano kwa wenza tunao wapenda...wengi huuamini moyo katka kufanya maamuzi na wachache sana huuamini ubongo ktk kufanya maamuzi...
Apo Sasa ndo tunasema don't let your emotions control your thinking...
Moyo wenye kupitisha damu Safi na chafu huna sifa ya unafiki.....huamini sna ubongo hutojuta katka maisha yako.....mke wako ni kitulizo cha akili yako..
Sijui umenielewa mkuu...
Mbaya zaidi Emmy aolewe na boss wake mpya π€£π€£π€£Umempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.
Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.
Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.
Mwamba kafeli sana, esp. hapo aliposema emmy hana kasoro yyt.Alitakiwa amuweke wazi tangu mwanzo kuwa hakuna malengo, Aliona kabisa jinsi dada wa watu alivyokuwa anaendelea kuzama penzini kakaa kimya tu. Not fair
Malipo ni hapa hapa duniani we muacheMwamba kafeli sana, esp. hapo aliposema emmy hana kasoro yyt.
Huyu itakuwa kavutiwa na mdada wa mjini huyo anaejua kupiga pamba na makeups kisa ana chench za kupiga taizi...nahisi Emmy yupo natural zaidi mshamba kwa mbali. Ila wanawake design ya Emmy ndio wa kuoa.
π€£siku utayojiachia kwake ndio utajua hujui! Hamna kitu kibaya kama mwanamke mpya ajue unaachana na KE kwa ajili ya kuwa nae ikibidi kumuoa.Hapana mkuu hawezi fanya hivyo ananipenda sana
Sio huwezi kumueleza mtu jambo hilo,,hebu jiulize je ww unapenda mtu acheze na hisia zako?!! Ifikie hatua watu waache tabia ya kutumiana na ukubali ukatae ww ulikuwa unamtumia mwenzako kama chombo cha starehe pale utakapojiskia. Na kama hatokusamehe unaingia ndoani huku ukijua kuna mtu ana jutio la maisha kukuhusuJoanah ni bora unisaidie maneno yako na wewe yanazidi kuniumiza na kujiona mkosaji ukweli ni kwamba huyu dada sikuwa na mipango ya kumuoa toka tunaanza mahusiano ila huwezi mueleza mtu jambo kama hilo
Faraja ni hii hapa, fanya lolote lile hadi akuelewe kisha nenda katubu mbele za Mungu. Hio ndio faraja halisiDada nipo hapa kutafuta faraja ujue
Kwan wale mnaonunuaga hua mnawapenda?Ndio najaribu kuwaza hapa, Mchizi alikua anapataje hisia hadi anadidinsha kwa huyo dada, mbali na hilo... Alikua anatoaje wazungu kama hampendi huyo binti au wakati wa kukojoa alikua hisia anazi danganya yuko na huyo mke wake mtarajiwa....!?
Hii ngumu kumeza...
We waliokupenda umedumu nao milele π?
Pole sana my dear!Aliyenipenda aliniacha
Pole sana my dear!
Sidhani kama amekuelewa...lau ungejua mapenzi yalipo na yanapoanzia usingeweza au kuwaza kufanya huu ujinga...
Najua kuna ile inner voice inakuambia hvi...hivi ndugu na jamaa watanionaje nikimuoa emmy, afu emmy sio mzur wa sura,afu hana tako sio mweupe..
Lakini emmy ananipenda na ana adabu,pia ni mtamu...nitawezaje kumuacha.
afu inner voice nyingine inamuongelea huyo mwanamke mpya...inasema, huyu ni mzuri kuliko emmy ata nkitembea nae njiana naonekana natembea na chombo kweli, ndugu na jamaa macho yatawatoka lazima wanisifie,mtoto anashepu nzur,tako lipo....naamini ananipenda kuhusu tabia hii tutaelekezana Mana Mimi ndo mwanaume..
Apo kuna inner voice inayoambatana na emotions (mihemko/hisia) hii hutokea ktk moyo na kuna nyengine haiambatani kabsa na emotions hii hutokea ktk ubongo...ndo pale unaweza mpenda mtu lakini usiwe na hisia nae au unaweza ukampenda mtu lakini ukikaa peke ako nafsi inakusuta yaani ubongo unamkataa kabisa..
Yaani kuna muda ubongo na moyo hutofautia ktk kutoka ushirikiano kwa wenza tunao wapenda...wengi huuamini moyo katka kufanya maamuzi na wachache sana huuamini ubongo ktk kufanya maamuzi...
Apo Sasa ndo tunasema don't let your emotions control your thinking...
Moyo wenye kupitisha damu Safi na chafu huna sifa ya unafiki.....huamini sna ubongo hutojuta katka maisha yako.....mke wako ni kitulizo cha akili yako..
Sijui umenielewa mkuu...
Njoo kwangu tupendane milele hadi kifoπ mi siachagi mwanamke toka nilipojitambua.Asante