Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,540
- 31,607
Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.