Wenzangu hali si hali nimekwama

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,338
Reaction score
10,194
Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .

Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.

Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
 
Funguka zaidi, shida ni nn? Unapitia tatizo gani?
 
Pole . Funguka upate msaada.
 
Hali Gani unayopitia mbona husemi
 
Nimerushiwa kitu kama kuvalishwa kitu mwilini dira zangu zikafutikaga
Aliyekuambia kakudanganya, tafadhali ishi maisha yako bila kutegemea Imani potofu....utashinda....
Hayo unayopitia ni ile hali umeaminishwa then umejitia woga...basi utaona mengi... please chochote unachoona hakipo sawa,ni hali ya kawaida kukupata maana huwezi kuwa na hali positively tu sikuzote,kupitia changamoto lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…