Huyu yupo igombeMuziki mbaya, hakuna maua, vyakula vibaya? Una uhakika uko Mwanza au Sengerema?
Nipo hapa tangu asubui nimetoka jioni hii kufurahisha nafsi nimekosa sehemu nipo hapa Rock City
Kuna Watu Wengi kiasi flani chake,
1/Mziki Mbaya
2/Vyakula Vyao pia vibaya
3/Hamna Hata Maua (Wadada Wazuri) wa kuangalia
Wenyeji Naombeni Muongozo wapi pazuri niende nikapumzishe akili kidogo kwa masaa mawili matatu.
[emoji1472]
Muziki mbaya, hakuna maua, vyakula vibaya? Una uhakika uko Mwanza au Sengerema?
Alkam Alkam utakua umepotea haupo Mwanza hapo ni Runzewe me nakushauri lala kesho wahi saa 11 asbh panda mabasi ya kwenda Mwanza
Mkifukuzwa dar msikimbilie mikoa isiyofanya biashara zenu za dsm na kuleta dharau za kifalala. Shukru waliokujibu awali ni wasitaarabu hebu endelea kuletadharau zako uone dumeSwali zuri Me mwanaume wa Dar