Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
Yaaa kwa mwanza mda huu sio kama dar mfano pale mitaa ya 55 kunakuwaga na machalii huwa wanazingua sometimes. Kama upo na usafiri (private) wa kukufikisha hadi sehemu husika ndo fresh ila daladala sijui utoke kituoni hadi sehemu husika kwa mguu sikushauri. Au boda ni fresh
Shukrani mkuu kuna changamoto zozote maana nina muamala hapa mfukoni.