Mkuu mi Nipo hapa sokon Vp nije?Hapana mkuu....Leo jioni njoo usiogope.
Nilimshtukia mkuu...kwanini anataka niende na demu wangu badala ya kuniambia niende na washkajiha ha ha anataka akuzunguke kwa bia 2 za 3000
ha ha ha haNilimshtukia mkuu...kwanini anataka niende na demu wangu badala ya kuniambia niende na washkaji
[emoji23][emoji23][emoji23]..ukaona isiwe kesi ulinde mali yako sio??Nilimshtukia mkuu...kwanini anataka niende na demu wangu badala ya kuniambia niende na washkaji
Wap mkuu polis mess ,malindi, changbay, surzbarg, leorpad hotel, Fresh coach, kncu?Jioni around 19hrs tuonane kule.
Mkuu sasa uende na demu kwa mshkaji afu aanze kuwagharamia wote wawili unategemea nini[emoji23][emoji23][emoji23]..ukaona isiwe kesi ulinde mali yako sio??
Mkuu ukikubali kugharamiwa wewe na demu wako kwa gharama za mshkaji na demu anaona basi uwezekano mkubwa wa demu wako kuliwa na huyo mshkaji upo...any way cku ukiwa na ziara mkoa wa mbeya nishtue ila nitakuja mimi peke yangu or na washkaji tuHahahahah wasi wasi wako tu Mkuu. Sasa ningekuzunguka Sangapi wakati ungekuwepo muda wote?
Poa poa mkuu.Mkuu ukikubali kugharamiwa wewe na demu wako kwa gharama za mshkaji na demu anaona basi uwezekano mkubwa wa demu wako kuliwa na huyo mshkaji upo...any way cku ukiwa na ziara mkoa wa mbeya nishtue ila nitakuja mimi peke yangu or na washkaji tu