joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,052
Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo nipo Moshi mjini hapa toka Dar es salaam.Hivyo naomba kama kuna mtu yupo karibu aje hapa Qwine Pub tupeane kampani. Qwine pub ipo opposite na filling Station ya PANONE.
Karibuni sana na ahsanteni sana.
Karibuni sana na ahsanteni sana.