Wenyeji wa kinampnda !

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,154
9,353
Wenyeji wa KATA ya Kinampnda!
Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu,
Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu na wadogo zetu wanasoma pale .Kama mkakati wa kuondoa umaskini Kinampanda hatuna budi kuisadia shule hii kwa hali na mali.Tukikutana tuweke mkakati wa kuiganya iwe ST kinampnda...Nawasilsiha wazo hili...tafadhali mpe taarifa na mwenzako ,tukajenge kizazi cha kuing'oa CCM!
 
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 23 FLD = 97
wAMEJITAHIDI MKUU,
JE UKIONA SHULE YA SECONDARY YA MAKAMBA
 
Shule ya kijijini kwangu ya kata ya mwanamwayo sec
DIV I = 0
DIV II = 0
DIV III = 0
DIV IV = 101
DIV 0 = 95
 
Wenyeji wa KATA ya Kinampnda!
Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu,
Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu na wadogo zetu wanasoma pale .Kama mkakati wa kuondoa umaskini Kinampanda hatuna budi kuisadia shule hii kwa hali na mali.Tukikutana tuweke mkakati wa kuiganya iwe ST kinampnda...Nawasilsiha wazo hili...tafadhali mpe taarifa na mwenzako ,tukajenge kizazi cha kuing'oa CCM!

Tena mna advantage ya kuwa mbunge kijana Mhe. Nchemba......jaribu kumtumia kuhamasisha uimarishaji wa hizo 'SHULE ZA MSINGI ZA KIINGEREZA'
 
tena mna advantage ya kuwa mbunge kijana mhe. Nchemba......jaribu kumtumia kuhamasisha uimarishaji wa hizo 'shule za msingi za kiingereza'
sasa si watafaulu kingereza huku kwingine swifuri kabisa ama kweli dunia ya tanzania si mchezo, kuwa kiongozi tz ni rahisi kama umonita wa darasa!
 
You got me wrong.....i meant Shule za Kata ni sawa na Shule za Msingi, kilichobadilika ni kutumia kiingereza zaidi!
 
Wazo zuri; kweli tunahitaji kufanya jambo kwa ajili ya Shule za kata zetu, nyumbani kwangu kuna kijana amemaliza hizi shule za kata (sekondari) kweli naona ufahamu wake ni mdogo sana kama juzi nilimwagiza aniletee dairy yangu kutoka kwenye gari akaniuliza dairy nini? na maswali mengineyo mengi ambayo naona kwa elimu yake hakustahili.

Tunaweza kurudi vijijini kwetu na kutoa hamasa kwa vijana wetu kusoma kwa bidii; na kuangalia mahitaji ya shule husika na kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom