Wenyeji mpo?: Hodi hodi Jamvini!

Wenyeji mpo?: Hodi hodi Jamvini!

Gagurito nakuona tu kwa mbali siku hizi.... Mzima wewe??

Post yako nitasoma baada ya kukujulia hali - siku nyingi kweli aisee.....
 
We umependa kabila au umempenda mtu mwenyewe? Mbona unahaha sana! Kama tabia yake inakuridhisha sasa hayo masuala ya kabila ya nini? Au nawe kwenu wamemkataa?
<br />
<br />
Nimempenda binti, bt kumbuka kwa value za kiafrica society/family/tribe ndio basic unity.
 
Angalia baadaye atakuambia I WAS TOO YOUNG TO MARRY U, IAM SORRY I WANT DIVORCE,HIVYO..........................................changanya na zako.
 
Umependa mwenyewe ushauri wa nini tena. then na kitandani utataka ushauri atiee.
 
Hamna cha kushauri hapo. Wakati mnakutana cc hatukuwepo, maybe kama wenzangu mnamjua huyo binti, just know kwamba mapenzi ni ya wawili, you know her better than anyone else so listen to ur heart (and mind) then make a decision...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom