Umefulia....suuza na maji ya bomba!!
Jamani Lizzy.....umenifanya nicheke adi nikajitonesha!!

Hhaha...pole mpenzi...ntajitahidi nisirudie tena!!

Gagu habari ndio hiyo...huna jipya mtu wangu!!Kama unachouliza kingekua na maana ningekusaidia maana bibi yangu alikua Mpare ila tabia yake sidhani kama ni ya kabila zima!!

Hivi wanawake wa pande hizo wamewakosea nn?

manake wiki ipite bila thread inayowahusu wao hamridhiki

mtawakatisha tamaa wenye mpango huo

Wingi wa hizo threads kwa kiasi fulan umenifanya niuliyie juu ya hawa wenzetu wapare! Wakoje kaka?

Duh! Kweli watoto wa sikuhizi wanaanza shule mapema. Binti wa miaka 22 ana shahada na keshakuwa mjasiriamali!?

Kaoe kwenu kama unaulizia juu ya kabila la mtu.na ninachofikir unahisi wanawake wa kabila lenu ndio wazur kwa tabia,una yale mawazo ya kizaman nahisi. Wewe umempenda mtu si kabila,kama umerithika na tabia jibebee mzigo kama atakuwa na mathaifu utayarekebishia ndan kwako,kabila cio ishu siku hz hata mchaga anaoa mmakonde now day.