Wenye waume JF..TAHADHARI.

mmh sielewi hapa kwan bibie lizzy ndio mlengwa au?? mbona wamporomoshea maneno makali makali?? funguka dada.
 
Mwanaume makini anayeipenda ndoa yake na mkewe hawezi kuibiwa na keybord,vinginevo atakuwa ametaka tu kujidhalilisha yeye na mkewe na familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…