Akili zako ni mbovuunajisifu kabisa bosi wako ni mwanamkešakiamka na kisirini kazi huna

Hapana, aliweka bond kwa wajukuu zakelabda momeolewa mitaa ya jiraniš
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuzaš
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewešš
Yote haya ni matatizo ya kujitakia katika jamii. Kwa kiasi kikubwa ni ujinga, na umasikini, ambao katika kiwango chake kikubwa kabisa hata umasiki i ni ujinga tu. Umasikini wa mawazo.Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuzaš
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewešš
ššš hard pill to swallowyaani nafsi yako ni kima unawivu na watoto wako wa kike wasipigwe mashine
Heri uwe na watoto wa kike hata kumi kuliko kuwa na mtoto wa kiume mmoja alafu aje kuwa shoga au teja isee maukivu yake sio ya dunia hii..Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuzaš
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewešš
Mkuu vipi kuhusu wimbi la mashoga wanaozidi kuongezeka? Huoni pia watoto wetu wa kiume wako kwenye hatari?Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa majibu nikawaza je wenye watoto wakike tupu wanajisikiaje ukizingatia mtoto wakike nidhaifu sikuzote mda wowote anapewa mimba yani shida tupu uvumilivu hawana changamoto kidogo tu wanaanza kujiuzaš
Hapa nawaza huyu wangu akifikia umri wakubarehe nitamhendo vipi asichezewešš
Katika watu wenye uchungu na nyumbani ni wanawake.. nina ndugu zangu wa kiume 3 wako vizuri kiuchumi na nina dada 1 sasa huwezi amini mtu anaesaidia home ni sister hao wenginee hawajigusi wapo na wake zaomaisha lazima wawe nayo lakini hawanaga msaada kwa wazazi wao.hasa wakiolewa
Uongoooo.. mimi dada yangu kabla hajaolewa mpk ameolewa yeye ndio msaada home hao wakiume wanateseka na mapenzi tuwakishaolewa wanasahau nyumbani wanao kumbuka kwao ni msingo maza
Upo sahihi,yaani mtoto wa kiume akishaoa sio wa kwenu tena.Katika watu wenye uchungu na nyumbani ni wanawake.. nina ndugu zangu wa kiume 3 wako vizuri kiuchumi na nina dada 1 sasa huwezi amini mtu anaesaidia home ni sister hao wenginee hawajigusi wapo na wake zao
Akili hamna š¤£š¤£š¤£Hata mimi kuna muda huwa ninajifungia ndani na taulo kama mbili nikiwa nalia sana pale ninapokumbuka kuwa kuna siku na mimi nitazaa mtoto wa kike šš daah inauma sana
walifanyaje wakayaepukaYote haya ni matatizo ya kujitakia katika jamii. Kwa kiasi kikubwa ni ujinga, na umasikini, ambao katika kiwango chake kikubwa kabisa hata umasiki i ni ujinga tu. Umasikini wa mawazo.
Ndiyo maana wazazi wa Finland, Sweden na Norway, wameshapita level ya matatizo haya.