Wenye watoto wa kike tu

Wenye watoto wa kike tu

Watoto wa kike ni wasikivu, wanadekeka na wana heshima ukiwapa malezi bora.

Labda cha kuombea ni akianza michezo basi acheze na wa lika lake.
 
Nampenda mwanangu Savanah na ntamfundsha namna ya kuwa Binti na mwanamke anayejitambua katika makuzi malezi na ishu ya ukuaji

Kikubwa awaepuke wanaume wasio na hela na awakimbie km ukoma..... MIHEMKO ya stingy men sihitaji hapa!!!!!!!!!
 
Mtoto wa kike ni baraka sana kwa mzazi wa kiume. Huwa wanakua na bond kali sana na baba zao. Lakini mitoto ya kiume sio ya kuiwekea dhamana kabisa, ni rahisi sana kujazwa ujinga na mama zao.

Changamoto ya mtoto wa kike ndio hapo kwenye malezi. Dunia ya sasa malezi ya mtoto wa kike akikisha unaenda beyond mahitaji yake ya muhimu yaani luxury ndogondogo angalao uweze kuzimudu. Kama home apeche alolo, mtoto wa kike kuidhalilisha familia ni dakika 0 tu.

Sio vibaya binti yako kuwa na mahusiano na kijana anaeleweka, ila ile kusikia yupo kitambaa cheupe uko anatumika kama kiburudisho au kuletewa mjukuu asiekua na baba., noma sana hiyo.
 
Back
Top Bottom