Ukweli juu ya sadaka na matoleo mbalimbali

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Utangulizi
Hapo mwanzo wakati Mungu anamuumba Mwandamu hakukuwa na sadaka kulikuwa na mawasiliano ya Mungu na mwanadamu moja Kwa moja pasipo kizuzi chochote ndio maana Mungu alikuwa anamtembelea hadamu kwenye bustani wanafanya mazungumzo

Mwanzo 3:8 Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone.

Kwanini tutoe sadaka?

Jambo la Kwanza
Sadaka ilianza kutolewa baada ya dhambi kuingia na neno dhambi ni uasi kwenda kinyume cha mamlaka
1 Yohana 3:4 Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.

Mwandamu alipoasi kwenda kinyume cha maelekezo ya Mungu alijiondoa mwenyewe kutoka kwenye msaada wa Mungu, tangia hapo ili mwandamu kutaka kurejesha mahusiano yake na Mungu ilibidi amwalike Mungu

Jambo la pili
Sadaka ni Mwaliko wa kiroho wa mwanadamu Kwa Mungu, Kwa sababu Mungu ni Roho .

Yohana 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Kwakuwa Mungu ni Roho na Mungu anakaa ndani ya Moyo wa Mwanadamu ili uweze kumwabudu Mungu lazima umwabudu Mungu Kwa Roho

Waefeso 3:17 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;

Jambo la Tatu
Ili uweze kumwabudu Mungu ni lazima upitie moyoni mwako Kwanza ili Mungu apate kujua kwamba kuna MTU anamuabudu katika Roho na kweli

Mathayo 15:8-9 Watu hawa huniheshimu kwa midomo;
Ila mioyo yao iko mbali nami.

[9]Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu.

Kwa hiyo ili ibada yako iweze kumgusa Mungu na Mungu akakusikia lazima ibada hiyo na Ushirika na Moyo wako na kinachounganisha Moyo wako na Roho WA Mungu ni sadaka na maombi

Zaburi 19:14 Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.

Jambo la Nne
Kwa hiyo sadaka maana yake ni kitu chochote cha thamani ambacho anakitoa MTU kwa Mungu kama ishara ya kuonyesha upendo wake Kwa Mungu na ni Kwa kiwango gani anamuheshimu huyo Mungu na kumtii, ndio maana sadaka ni ya moyoni Kwanza Kabla haijawa ya mfukoni

2 Wakorintho 9:6-7
[6]Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.
.
[7]Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

Jambo la Nne
Sadaka ni Mali ya Mungu , kama vile Kodi ilivyo Mali ya serikali kadharika sadaka ni Mali ya Mungu

Mathayo 22:19-21
[19]Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.

[20]Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?

[21]Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Umfanye nini MTU ambaye anakukataza kutoa sadaka

Fanya utafiti umewai kusikia watu wanalalamika bei ya vinywaji kupanda? Au umeshaskia watu wakilalamikia juu ya bili za vinywaji walivyokunywa?

Ebu fikiri MTU anaouwezo wa kutumia kiasi cha Tsh 2 million kwenye vinywaji na kupiga picha kalipia bili yeye na marafiki zake wawili au watu wametumia million mbili kwa vinywaji vya usiku mmoja lakini mtu huyo huyo akiambiwa kanisani atoe pesa analalamika Hadi kwenye Mitandoa?

Nenda kwenye harusi au sherehe watu wako radhi kutoa mamilioni kwenye harusi ya usiku mmoja lakini kanisani kutoa Tu laki wanalalamika mtaa mzima ?

Ukiona MTU anakuambia juu ya utoaji wako wa sadaka anakusudia kukuzia kupata mambo yafuatayo:-

A. Jambo la Kwanza

Anakusudia usipokee majibu yako, ambayo umekuwa unamwomba Mungu usiku na mchana.
Matendo ya Mitume 10:4-6
[4]Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

[5]Sasa basi, peleka watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye :

[6]Yeye ni mgeni wa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi, ambaye nyumba yake iko pwani, atakuambia yakupasayo kutenda.
 
Jambo la pili
Anakusudia kukuzia kujulikana kwa Mungu wako, katika ulimwengu wa Roho Mungu anayepewa sadaka za heshima huyo ndiye anaheshimika mtaani, ukiona Mungu wako haheshimiki ujue Yule ambaye anaheshimika kuna sadaka za kunona kwake

1 Wafalme 18:23-24
[23]Kwa hiyo na watutolee ng’ombe wawili; wao na wajichagulie ng’ombe mmoja, wamkate-kate na kumweka juu ya kuni, wasitie moto chini; nami nitamtengeza huyo ng’ombe wa pili, na kumweka juu ya kuni, wala sitatia moto chini.

[24]Nanyi ombeni kwa jina la mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la BWANA; na Mungu yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye Mungu. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri.

Jambo la Tatu

Anakusuidia kukuharibia Mungu na wanadamu kukumbuka wakati wa dhiki

Luka 7:3-5
[3]Aliposikia habari za Yesu, alituma wazee wa Wayahudi kwake kumwomba aje amponye mtumwa wake.

[4]Nao walipofika kwa Yesu, walimsihi sana wakisema, Amestahili huyu umtendee neno hili;

[5]maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi.

Jambo la Nne

Anakusudia kuzuia Mungu kukuongezea miaka ya kuishi duniani

Matendo ya Mitume 9:36,40
[36]Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.

[40]Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na .
 
Utangulizi
Hapo mwanzo wakati Mungu anamuumba Mwandamu hakukuwa na sadaka kulikuwa na mawasiliano ya Mungu na mwanadamu moja Kwa moja pasipo kizuzi chochote ndio maana Mungu alikuwa anamtembelea hadamu kwenye bustani wanafanya mazungumzo

Mwanzo 3:8 Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone.

Kwanini tutoe sadaka?

Jambo la Kwanza
Sadaka ilianza kutolewa baada ya dhambi kuingia na neno dhambi ni uasi kwenda kinyume cha mamlaka
1 Yohana 3:4 Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.

Mwandamu alipoasi kwenda kinyume cha maelekezo ya Mungu alijiondoa mwenyewe kutoka kwenye msaada wa Mungu, tangia hapo ili mwandamu kutaka kurejesha mahusiano yake na Mungu ilibidi amwalike Mungu

Jambo la pili
Sadaka ni Mwaliko wa kiroho wa mwanadamu Kwa Mungu, Kwa sababu Mungu ni Roho .

Yohana 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Kwakuwa Mungu ni Roho na Mungu anakaa ndani ya Moyo wa Mwanadamu ili uweze kumwabudu Mungu lazima umwabudu Mungu Kwa Roho

Waefeso 3:17 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;

Jambo la Tatu
Ili uweze kumwabudu Mungu ni lazima upitie moyoni mwako Kwanza ili Mungu apate kujua kwamba kuna MTU anamuabudu katika Roho na kweli

Mathayo 15:8-9 Watu hawa huniheshimu kwa midomo;
Ila mioyo yao iko mbali nami.

[9]Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu.

Kwa hiyo ili ibada yako iweze kumgusa Mungu na Mungu akakusikia lazima ibada hiyo na Ushirika na Moyo wako na kinachounganisha Moyo wako na Roho WA Mungu ni sadaka na maombi

Zaburi 19:14 Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.

Jambo la Nne
Kwa hiyo sadaka maana yake ni kitu chochote cha thamani ambacho anakitoa MTU kwa Mungu kama ishara ya kuonyesha upendo wake Kwa Mungu na ni Kwa kiwango gani anamuheshimu huyo Mungu na kumtii, ndio maana sadaka ni ya moyoni Kwanza Kabla haijawa ya mfukoni

2 Wakorintho 9:6-7
[6]Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.
.
[7]Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

Jambo la Nne
Sadaka ni Mali ya Mungu , kama vile Kodi ilivyo Mali ya serikali kadharika sadaka ni Mali ya Mungu

Mathayo 22:19-21
[19]Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.

[20]Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?

[21]Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Umfanye nini MTU ambaye anakukataza kutoa sadaka

Fanya utafiti umewai kusikia watu wanalalamika bei ya vinywaji kupanda? Au umeshaskia watu wakilalamikia juu ya bili za vinywaji walivyokunywa?

Ebu fikiri MTU anaouwezo wa kutumia kiasi cha Tsh 2 million kwenye vinywaji na kupiga picha kalipia bili yeye na marafiki zake wawili au watu wametumia million mbili kwa vinywaji vya usiku mmoja lakini mtu huyo huyo akiambiwa kanisani atoe pesa analalamika Hadi kwenye Mitandoa?

Nenda kwenye harusi au sherehe watu wako radhi kutoa mamilioni kwenye harusi ya usiku mmoja lakini kanisani kutoa Tu laki wanalalamika mtaa mzima ?

Ukiona MTU anakuambia juu ya utoaji wako wa sadaka anakusudia kukuzia kupata mambo yafuatayo:-

A. Jambo la Kwanza

Anakusudia usipokee majibu yako, ambayo umekuwa unamwomba Mungu usiku na mchana.
Matendo ya Mitume 10:4-6
[4]Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

[5]Sasa basi, peleka watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye :

[6]Yeye ni mgeni wa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi, ambaye nyumba yake iko pwani, atakuambia yakupasayo kutenda.
Somo zuri sana.

Una maoni gani kuhusu huu mwenendo wa watumishi wa Mungu wa kisasa kuishi maisha ya kikwasi sana kutokana na matoleo ya waumini wao ambao wengi ni mafukara (wa kutupwa)?

Ni sawa kimaandiko au kuna tatizo mahali?
 
Naona hamlali kutwa kucha kutaka mali za watu!
Hivi ni Mungu gani ambae anamiliki Kila kitu then ahitaji sadaka...?
Ati kukutendea mpaka utoe kitu..😂
Ila nyie sijui mnaona navyoona! Ndio maana hao viungozi wadini wanaota matumbo na kununua magari ya bei Kali tupu!.
 
Somo zuri sana.

Una maoni gani kuhusu huu mwenendo wa watumishi wa Mungu wa kisasa kuishi maisha ya kikwasi sana kutokana na matoleo ya waumini wao ambao wengi ni mafukara (wa kutupwa)?

Ni sawa kimaandiko au kuna tatizo mahali?
Biblia hiko wazi , ndio maana tumepewa tahadhari Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kujikinga na hao watu Ila Kristo alishashema juu Yao

Mathayo 24:24
[24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

Kazi yako ya kufanya ni hii :
Waebrania 13:7
[7]Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.

Pia kuwa makini nao

2 Wakorintho 11:13-15
[13]Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
.
[14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
.
[15]Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
 
Back
Top Bottom