Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Kwa mujibu wa Irene, wanaume wenye sura mbaya ndio ambao huamsha zaidi hisia zake za kimapenzi! Strange, lakini ndio ukweli wake. Muigizaji huyo ambaye ameandaa event maalum kwaajili ya Valentine’s Day aliyoipa jina, ‘Irene Uwoya Valentine’s Special Night, ameahidi kueleza baadhi ya mambo ambayo watu hawafahamu kuhusu yeye katika sekta ya malavidavi.
“Kitu ambacho hamkijui kuhusu mimi ni kuwa sijawahi kuvutiwa na wanaume wenye mionekano mizuri, sielewi ni kwanini lakini wanaume wenye sura mbaya huwa wanaamsha hisia zangu za KIMAPENZI,” ameandika Uwoya.
Hapa mdada umenipa mzuka wa kuja kukutokea japo ww ni sawa na dada yangu wa kwanza kati ya dada zangu 7 walionitangulia kuzaliwa