Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,809
- 152,950
Mimi nilikuwa na ndoto si tu za kuishi USA kama wewe, mimi nilikuwana ndoto kufanya kazi New York City, na mpaka mtaa niliotaka kufanya kazi niliukamia, Wall St, where money never sleep.Jamani Mimi katika maisha yangu nna ndoto kubwa mbili tuu nikitimiza Hizi asante mungu ndoto ya kwanza ni kuhama nchi natamani nikaishi SA,USA,AU au UK pia ndoto ya pili lazma nimiliki range Rover hata kma ya miaka ya tisini
Jamani huu ni mtazamo wangu tuuu najua MTA ni crash haina shida natamani nikaishi moja ya nchi hizo[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] bila kujari ntaishi maisha gani
Na nikatimiza ndoto hiyo.
Kwa hiyo niwewe na mipango yako tu.
Zamani nakumbuka nilikuwanasikiliza taarifa za habari, kila wakitaja "New York" kuelezea habari za umoja wa Mataifa hususan, nilikuwa napaona kama mwezini hivi, dunia fulani ambayo siwezi kufika.
Siku hizi nafanya getaways na escape from New York.
Ni maisha tu.
Kuna ujinga ujinga fulani niliuona unakuja tangu kitambo.
Nikapiga kura kwa miguu yangu kuukimbia.