Msaada natamani kwenda kujaribu bahati yangu ya maisha Afrika Kusini

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu Mimi ni fundi welding pia nna uelewa na machenics pia.

Ndoto yangu kubwa ni kwenda kuishi Afrika ya Kusini bila ya kujali ntaishi maisha gani

Changamoto yangu kubwa sina mwenyeji kule na sijui wapi nitaanzia ila natamani nitimize ndoto yangu.

NB nafahamu saivi SA uchumi umeshuka ila Mimi natamani kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu wenye uelewa na hitaji langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule hakupo sawa kwa sasa hivi ila maisha popote na South kama una fani unafanikiwa tofauti na wanaokwenda bila mpango
 
Mm nataka kwenda Botswana, kama kuna mtu anipe password za huko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
uganga wa kienyeji unalipa,nenda tu mkuu,ili mradi ujue unaenda kufanya nini,kikubwa ni kuangalia malengo yako,riziki popote.
 
Back
Top Bottom