GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Kuna 'Hausigeli' Mmoja 'Kanikera' sana Asubuhi hii yaani Bosi zake wameondoka tokea Saa 1 nae katoka kwenda 'Kukazwa' na Dereva 'Bodaboda' na kamuacha Mtoto peke yake Nyumbani analia tu muda wote, hajala chochote na hajamvalisha Kitu huku akijua sasa Dar es Salaam kuna Baridi Kali.
Katika 'Kumsaka' Kwangu 'nikamfuma' kwa Dereva 'Bodaboda' akiwa 'anakazwa' Kibarazani ambapo kuna Hatua za 'Kimafia' zimezichukua dhidi ya huyu 'Hausigeli' na najua hatonisahau Maishani mwake na kuanzia leo atabadilika na kuwa na Nidhamu kwa Mtoto huyo na kwa 'Mabosi' zake.
Na hatua niliyoichukua kwa Dereva 'Bodaboda' ili nimsamehe na yaishe ni Kuamua Kuchukua Pikipiki yake na sasa najiandaa Kuzunguka nayo (kwa Mtindo wa Bea Bea) kutafuta Vichwa (Wateja) na kumwambia nitamrudishia Pikipiki yake pale tu nikifikisha Tsh 100,000/= isipofika simrudishii leo.
Na kilichonipandisha Hasira zaidi kwa huyu Dogo Dereva'Bodaboda' ni kwamba alikuwa 'anakaza" Yule 'Hausigeli' wa Watu 'kavukavu' kabisa wakati anajua 'Condoms' zipo Dukani na zinahitaji Kununuliwa ili Uchumi uzidi Kukua Tanzania.
Hata hivyo Mtoto aliyeachwa na 'Hausigeli' Mpuuzi huyu nilimchukua na kwenda nae Kwangu ambapo niliamua Kumpikia Uji na Kumpa anywe ili kutoa Njaa, nikamaliza na Kuchemsha Maji ya Moto na Kumuogesha kisha Kumlaza Ghetoni Kwangu na Blanketi langu lililozeeka na amelala.
Dada wa Kazi (Hausigeli) huyu ambaye nimeshampa Adhabu ya Kishalubela (Kikatili) nimemwambia nazunguka na Pikipiki ya hiki 'Kibwana' chake na ajifkirie atanipa nini cha Kupunguza Hasira zangu kwa Uzembe wake usiovumilika alioufanya kwa Mtoto ili Huruma ya Roho Mtakatifu iniingie GENTAMYCINE na nisimsemee kwa Mabosi zake ambao Mume ni Mmasai na Mke ni Mmachame ambao najua nikimsemea Kwao basi Safari yake (huyu Hausigeli) ya Kuyaanza Maisha yake 'Mortuary' naiona kwa 'Kipigo' ambacho atakipata.
Tafadhali wenye 'Mahausigeli' jengeni tabia ya kurudi Makwenu kwa Kushtukiza au wekeni Camera Kwenu ili muwe mnajionea Mauzauza (Upuuzi) wa hawa Dada wa Kazi kwa Watoto wenu (hasa Wadogo) ambao huwa mnawaachia Kuwatunzieni.