Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,381
Umeanza kuogopa? ngoja kwanza nifunge vibwebwe ndio uone mambo yangu. lolUsije uka-side upande wa RR kwenye kutoa maamuzi maana naona gender haiko balanced...lol
Umeanza kuogopa? ngoja kwanza nifunge vibwebwe ndio uone mambo yangu. lolUsije uka-side upande wa RR kwenye kutoa maamuzi maana naona gender haiko balanced...lol
Usije uka-side upande wa RR kwenye kutoa maamuzi maana naona gender haiko balanced...lol
Umeanza kuogopa? ngoja kwanza nifunge vibwebwe ndio uone mambo yangu. lol
Dah..nashindwa kukoment hapa cuz natumia mobile na hiyo video siwezi kuiangalia.Alafu yule mmoja namfananisha na Rejao..... Sijui kwanini yaaani! lol
Binti wa kati kati kafanana na Smiles....
Hahah TF, nashindwa kuiona hiyo clip!!!Kama yeye kabisa na swagga za suspenda..lol
Si nimesikia unatumia IPAD wewe...lolHahah TF, nashindwa kuiona hiyo clip!!!
Both legal and logical atakayeweza kuidadavua sig atapata zawadi ya mwaka mpya..Umeona eeeeh? Alafu Roulette natoka kidogo (na hio sig ya Finest) tuende ijadili pale Jukwaa la lugha.....lol
Alafu baadae narudi kucheki mpambano waendelea vipi.
Weeee..nitake radhi tafadhali. Mi natumia BB ya mchina. Pin yangu ya BBM ni 08re1j2aoSi nimesikia unatumia IPAD wewe...lol
Dah..nashindwa kukoment hapa cuz natumia mobile na hiyo video siwezi kuiangalia.
Both legal and logical atakayeweza kuidadavua sig atapata zawadi ya mwaka mpya..