GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025


Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi.

..Raisi ametekeleza mapendekezo yapi?

..Mbona tume ya uchaguzi haijabadilishwa?

..tena mmoja wa makamishna wa Tume, Ramadhani Mapuri, ni Katibu Mwenezi Mstaafu wa Ccm.

..hata uchaguzi wa serikali za mitaa ulipaswa kusimamiwa na Tume, lakini ukasimamiwa na Ofisi ya Raisi, yaani ulisimamiwa na Mama, na Mkwe wake.
 
Watu wanajitoa sana ufahamu,ila wenje! Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom