Wenje anafanya mkutano Nyamagana

Wenje anafanya mkutano Nyamagana

Leo asubuhi pale sahara ikapita gari ya ccm ikawa inatangaza kuchukua fomu za ubunge na madiwa imezomewa hadi aibu
 
Wana jf,leo hali ya mwitikio wa watu ktk viwanja vya Mbugani P/School,ni dalili tosha kuwa wapinzani wa Wenje ktk jimbo la Nyamagana wasijisumbue kifanya kampeni wakitegemea kuwa wataweza kupambana na huyu jamaa! Wenje anatosha kabisa kuendelea kuliongoza jimbo hili kwani ameweza kutoa mchanganuo wa matumizi ya MFUKO WA JIMBO toka amekuwa Mbunge!

weka picha mkuu, tunataka kuona hali halisi
 
USSR Marsha alikuwa mgeni rasmi wa ccm mtaani kwangu mwaka jana,kwenye uchaguzi wa S/Mitaa na mtaa ukaangukia cdm
 
Last edited by a moderator:
Safar hii lazima waisome namba, ukawa mbele kwa mbele
 
Hata mimi nilikuwepo yaani traffic jam ilichukua kama masaa matatu! Kisa Wenje. Kweli mwaka huu kazi ipo maana vijana wamehamasika vizuri!
 
Wana jf,leo hali ya mwitikio wa watu ktk viwanja vya Mbugani P/School,ni dalili tosha kuwa wapinzani wa Wenje ktk jimbo la Nyamagana wasijisumbue kifanya kampeni wakitegemea kuwa wataweza kupambana na huyu jamaa! Wenje anatosha kabisa kuendelea kuliongoza jimbo hili kwani ameweza kutoa mchanganuo wa matumizi ya MFUKO WA JIMBO toka amekuwa Mbunge!

Mkuu tunashukuru kwa taarifa za ukombozi mkoani mwanza,magamba na wakala wao wataisoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom