Wenje anafanya mkutano Nyamagana

Wenje anafanya mkutano Nyamagana

Naona unaendeleza alichokiasisi Role model wako Supreme Leader wa ACT, kuua umoja wa watanzania kwa kutumia propaganda za kishenzi za ukabila. Upigwe Vita kwa nguvu zote. Na katu watanzania tusikubali kuhujumiwa na baadhi ya wafuasi wapuuzi wa CCM kuvuruga umoja na mshikamano wetu kama watanzania na waafrika kwa ujumla wetu.
Toa porojo zako wewe kuna watu wakabila kama nyie wakaskazini?

Sasa hivi mnalia lia ovyo na wote mmeamia kwa Lowassa kisa katoka Kaskazini leo kageuka malaika Chadema.

Punguza unafiki...
 
Toa porojo zako wewe kuna watu wakabila kama nyie wakaskazini?

Sasa hivi mnalia lia ovyo na wote mmeamia kwa Lowassa kisa katoka Kaskazini leo kageuka malaika Chadema.

Punguza unafiki...

Ritz,Kaskazini ndiko anakotoka Mgombea wenu,huku kwingine siyo KASKAZINI check with your compass!!!!!!!!!!Pole lakini.
 
Wasukuma safari hii wameapa wanataka mzawa wa Mwanza ambaye atakaye saidiana na Dr.Magufuli.

Umetoka kwenye UKASKAZINI baada ya MGOMBEA wenu kutoka KASKAZINI ,naona umekuja kwenye UKABILA.Ritz tunachohitaji kwa sasa ni kutofarakana,uwezo wa kuongoza hauna ukabila,ukanda wala udini.

Mwenyekiti wenu amesema hata WAPINZANI wanawatu wazuri zaidi wa kuongoza TAIFA kuliko hata ndani ya CCM akamalizia kwamba hata WAPINZANI wana haki za msingi kabisa kuongoza Tanzania.

RITZ imetosha msiendele kutugawa
 
Yan mbunge tu anajaza kiaa hiki km mtia nia ya urais. Nyomi hii ni zaid ya hata ya pombe
 
Etiii picha hakuna alafu mnataka kutuaminisha cc hatulali na vyombo vya habari tunataka fact
 
Lumumba tumeamia kwenye ukabila.Magufuli msukuma mchagueni msukuma wenu.maccm balaaa bora shetani
 
Umetoka kwenye UKASKAZINI baada ya MGOMBEA wenu kutoka KASKAZINI ,naona umekuja kwenye UKABILA.Ritz tunachohitaji kwa sasa ni kutofarakana,uwezo wa kuongoza hauna ukabila,ukanda wala udini.

Mwenyekiti wenu amesema hata WAPINZANI wanawatu wazuri zaidi wa kuongoza TAIFA kuliko hata ndani ya CCM akamalizia kwamba hata WAPINZANI wana haki za msingi kabisa kuongoza Tanzania.

RITZ imetosha msiendele kutugawa

Ingekuwa mwanza ni Kaskazini basi vijana wa BAVICHA wasingeendelea kulia na Lowassa wao maana ile ndoto yao ya Rais lazima atoke Kaskazini imekuwa jinamizi kubwa.
 
Ingekuwa mwanza ni Kaskazini basi vijana wa BAVICHA wasingeendelea kulia na Lowassa wao maana ile ndoto yao ya Rais lazima atoke Kaskazini imekuwa jinamizi kubwa.

Kaka kwa Lowassa ni Kaskazini Mashariki.Check with your compass.
 
Nimekusamehe bure baada ya kusoma jina lako. Hata hivyo umejitahidi kuonyesha japo unajua kusoma na kuandika ambayo ni sifa namba moja kwa mgombea wa ccm kwenye karne hii ya ushindani wa kiuchumi duniani. Halafu mnategemea shilingi isishuke!
naona unaleta porojo badala ya kujibu swali. nimekuuliza hivi HUO UMATI UPO WAPI?
 
Ngoja nije niwatawanye
 
Attachments

  • 1437051429360.jpg
    1437051429360.jpg
    46.5 KB · Views: 204
Toa porojo zako wewe kuna watu wakabila kama nyie wakaskazini?

Sasa hivi mnalia lia ovyo na wote mmeamia kwa Lowassa kisa katoka Kaskazini leo kageuka malaika Chadema.

Punguza unafiki...

kwa hyo mmeamua ccm iwe chama cha waswahili wa pwani? ushemeji utakiua chana chenu hahhha lowasa mwizi mwenzenu hatumtaki cdm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom