Wengine huiona "pleasure" katika kutembea na wake za watu

Wengine huiona "pleasure" katika kutembea na wake za watu

Kuna mwingine hio ndio sexual fantasy yake. Hawezi poteza nafasi akiona dream yake inataka kuwa reallity.

Kuna mwingine huona ushindi mkubwa wa haja ya kingono pale anapotembea na mke wa mtu hata kama anamjua mshikaji.

Washikaji wapo wanao ona kinyaa hawezi kamwe, wengine wanakuwa waoga, wengine watafanya huku akijilaumu na hata baada ya tendo moyo unamsuta (kupelekea hata kuairisha), wengine sasa yeye hajali chochote yani tena sasa anaweza akaacha appointment na demu alie single ili akidhi haja ya kufanya mapenzi na mke wa mtu.

NOTE: KUTEMBEA NA MKE WA MTU NI HATARI KWA USALAMA NA UZIMA WAKO.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Fantasy
 
Eendeleeni tu ila kuna siku mtauponza.
JamiiForums-1905703195.jpeg
 
Huwa sipendi shari za kujitakia, mke wa mtu, mwanafunzi, demu mapepe.
Kwangu ni mwiko.

Hata kwenye harakati zangu mtu akanijibu mbofu huwa sirudishi kwa mbofu, sipendi kuharibiwa siku kijinga, napenda kupuuza tu nimejaariwa wepesi wa kusahau.
 
Kuna wanaume ili ajisikie yeye ni mwanaume inabidi atembee na mwanamke wa mwanaume mwingine. Ni tatizo la saikolojia. Pale anapofanya lile tendo morale inakuwa juu, misuli inamkakamaa huku ubongo wake ukimhakikishia kuwa yeye ni mwanaume kuliko mwanaume wa huyo mwanamke.

Sasa wanawake malaya wana akili linapokuja suala la kuhalalisha kufanya umalaya wao, wanajua wanaume wa aina hii wanataka kusikia nini, wakati wa tendo wanachomeka na vimaneno vya kumfanya avimbe na kujiona yeye ni mwanaume zaidi na anamchapia mwanaume mwingine ambaye ni dhaifu asiyeweza kuridhisha mwanamke. Kumbe hata akimuoa yeye bado hatamridhisha sababu ya umalaya.
Aisseeeee hii ni pure logic.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Huwa sipendi shari za kujitakia, mke wa mtu, mwanafunzi, demu mapepe.
Kwangu ni mwiko.

Hata kwenye harakati zangu mtu akanijibu mbofu huwa sirudishi kwa mbofu, sipendi kuharibiwa siku kijinga, napenda kupuuza tu nimejaariwa wepesi wa kusahau.
Hongera kwa nini ujpatie stress na kuvunjwa marinda

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Kuna mwingine hio ndio sexual fantasy yake. Hawezi poteza nafasi akiona dream yake inataka kuwa reallity.

Kuna mwingine huona ushindi mkubwa wa haja ya kingono pale anapotembea na mke wa mtu hata kama anamjua mshikaji.

Washikaji wapo wanao ona kinyaa hawezi kamwe, wengine wanakuwa waoga, wengine watafanya huku akijilaumu na hata baada ya tendo moyo unamsuta (kupelekea hata kuairisha), wengine sasa yeye hajali chochote yani tena sasa anaweza akaacha appointment na demu alie single ili akidhi haja ya kufanya mapenzi na mke wa mtu.

NOTE: KUTEMBEA NA MKE WA MTU NI HATARI KWA USALAMA NA UZIMA WAKO.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mkuu tujadili nini wakati kila kitu ushamaliza?

Sexual fantasy ni uendawazimu aupatao mtu kwenye mapenzi na hauna dawa.

Kwa mfano sexual fantacy yangu ni mwanamke anayenizidi umri, anayenichukia ama kuninyanyasa, hapo mimi ndozinapanda!

Na hii ilinianza nikiwa bado shule baada ya mwalimu mmoja wa kike kunibamiza mabanzi, baada ya kisago kile nikahisi kumpenda na kuanza kumsorolea.

Na baadaye nikaja kulala naye kiuhalisia.

Ikawa sasa ni maradhi yangu hata baada ya shule, hauoni huo ni uendawazimu?

Cha kushauri hapo ni kufuata njia bora za kuishi katika jamii basi, lakini katika mapenzi kila mtu ana mihemko yake.
 
Back
Top Bottom