Wengine huiona "pleasure" katika kutembea na wake za watu

Kuna mwingine hio ndio sexual fantasy yake. Hawezi poteza nafasi akiona dream yake inataka kuwa reallity.

Kuna mwingine huona ushindi mkubwa wa haja ya kingono pale anapotembea na mke wa mtu hata kama anamjua mshikaji.

Washikaji wapo wanao ona kinyaa hawezi kamwe, wengine wanakuwa waoga, wengine watafanya huku akijilaumu na hata baada ya tendo moyo unamsuta (kupelekea hata kuairisha), wengine sasa yeye hajali chochote yani tena sasa anaweza akaacha appointment na demu alie single ili akidhi haja ya kufanya mapenzi na mke wa mtu.

NOTE: KUTEMBEA NA MKE WA MTU NI HATARI KWA USALAMA NA UZIMA WAKO.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
///Epuka migogoro ya kifamilia na mkeo au mmeo ni chanzo cha kutoka na kwenda kutafuta faraja nje ya ndoa.

Nimeshudia mwenyewe kipindi sijaokoka kila mke wa mtu niliyemtomba lazima umkute na migogoro kati yake na mme wake hivyo hutoka ili kulipiza au kutafuta faraja...

Ushauri wangu kwa wanaume mkeo akitoka nje ya ndoa kisa migogoro mfukuze mazima huyo ni malaya siku mkizinguana tena ataenda kutombwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu umeokoka ila maneno makali hahahahahahh

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom