Wengine huiona "pleasure" katika kutembea na wake za watu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Kuna mwingine hio ndio sexual fantasy yake. Hawezi poteza nafasi akiona dream yake inataka kuwa reallity.

Kuna mwingine huona ushindi mkubwa wa haja ya kingono pale anapotembea na mke wa mtu hata kama anamjua mshikaji.

Washikaji wapo wanao ona kinyaa hawezi kamwe, wengine wanakuwa waoga, wengine watafanya huku akijilaumu na hata baada ya tendo moyo unamsuta (kupelekea hata kuairisha), wengine sasa yeye hajali chochote yani tena sasa anaweza akaacha appointment na demu alie single ili akidhi haja ya kufanya mapenzi na mke wa mtu.

NOTE: KUTEMBEA NA MKE WA MTU NI HATARI KWA USALAMA NA UZIMA WAKO.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
_20240203_144008.JPG
 
Kuna wanaume ili ajisikie yeye ni mwanaume inabidi atembee na mwanamke wa mwanaume mwingine. Ni tatizo la saikolojia. Pale anapofanya lile tendo morale inakuwa juu, misuli inamkakamaa huku ubongo wake ukimhakikishia kuwa yeye ni mwanaume kuliko mwanaume wa huyo mwanamke.

Sasa wanawake malaya wana akili linapokuja suala la kuhalalisha kufanya umalaya wao, wanajua wanaume wa aina hii wanataka kusikia nini, wakati wa tendo wanachomeka na vimaneno vya kumfanya avimbe na kujiona yeye ni mwanaume zaidi na anamchapia mwanaume mwingine ambaye ni dhaifu asiyeweza kuridhisha mwanamke. Kumbe hata akimuoa yeye bado hatamridhisha sababu ya umalaya.
 
Back
Top Bottom